nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie! Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja? Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
  2. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Wajanja wanavyoitafuna nchi kimya kimya

    Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo. Wewe umegundua nini hapo😁😁? Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake. Tanzania...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
  4. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Wako mtandaoni wanapiga domo, Mama Yuko Kazini anajenga nchi

    CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia. Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  7. KANYIMBI

    JamiiForums Tanzania Simba kuhama nchi?

    Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka. Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao...
  11. MKWEPA KODI

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

    Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Habari za mida.. Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa. Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo. Hali ya hewa ni...
  13. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Hii ni namba ya nchi gani?

    Eti waku hii namba ya nchi gani naogopa kuipokea
  14. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nani amsimulie Rais Samia namna madini yanavyotoroshwa nchini?

    Nadhani simulizi ya wizi inaweza kusimuliwa vyema kwa Mkuu wa nchi ikadhibitiwa kwani yeye anamiliki vyombo vyombo vya udhibiti. Naomba nichokonoe wizi huu wa madini ili wanaohusika wazibe palipotoboka. Wizi unaweza kufanywa Kwa sababu mwizi amedhamiria kuiba lakini pia wizi unaweza...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
Back
Top Bottom