CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,718
218,265
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

Screenshot_2023-12-16-18-37-05-1.png
 
msisahau kupitisha walau fagio maeneo kuzunguka ofisi., ni aibu hamjui tuh watu wanawachukulia vipi kushindwa kufanya usafi viunga vyenu
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Public Notice. CHADEMA to hold a meeting with local and foreign journalists 17/12/2023.

The main opposition party in Tanzania will talk to local and foreign journalists.

The press conference will be held at the Party's Headquarters in Dar es Salaam, Kinondoni, Ufipa Street

All are invited to attend, the speaker will be the director of protocol, communications and external affairs Mr. John Mrema
 
Tunakushukuru kwa kutuwekea Ung'eng'e sisi tusiojua kiswahili
 
Hakuna jipya hapo maana tushapitisha maridhiano sisi wenyewe ni vyema tujikite kusa ka pesa
F_CM5RmXYAAzxD7.jpeg
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Tumewachokaaa
 
Mkishaongea na Waandishi wa Habari then what?

Kwa nini hamjifunzi mpaka leo..

Mnaongea weeeeee lakini tupo palepale
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Jambo jema 👏👏
 
Eti chama kinachoungwa mkono kuliko vyote?. Hii ndio ule mkakati wa kusema uongo na kurudiarudia uongo huo huo hadi watu hasa wa nje wanaamini. Ukweli chadema ni chama waongo namba moja duniani.
 
Back
Top Bottom