Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya nimepata kujua pesa inahitaji discipline, ni muhimu kuhesabu na kukagua mzigo, kodi za tra ni muhimu sana kuzingatia, Kufungua biashara mpya wekeza muda ujifunze na kupata connections zake kwanza kabla ya kuweka mtaji, n.k. naacha kazi kwenda kuendeleza biashara, siachi kazi kwenda kuanzisha biashara na sishauri kabisa mtu aache kazi kwenda kuanzisha biashara ama kuendeleza biashara ambayo ndio kwanza anaianza.

And the time is now.

Sisi watanzania kundi la wasomi nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali kibao sana na kwa hali ya kawaida ilitakiwa sisi tuwe mstari wa mbele kuzi exploit lakini badala yake tunawaachia wageni na watanzania wenzetu wenye elimu za chini wanafaidika nazo mno wakati huo sisi wasomi hizi dgree ni kama zimetupiga limbwata kuwa nandoto za kuzeekea kwenye ajira, ni kweli kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu wa mwaka mzima, mwaka huu upo ukingoni kuisha nimepata ongezeko la asilimia 60% ya nilichoingiza mwaka jana, kwenye biashara mpya niliyoanzisha mwaka huu imeanza kuchanganya mwezi wa 10 napata faida almost nusu ya mshahara wangu kila mwezi na hapo bado haija mature vizuri nategemea iingize mara 2 ya mshahara kufikia mwezi wa 8 mwakani.

and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.

Pia kwa umri milionao life expectancy yangu nimebakiza takribani miaka 25 tu hapa duniani, pengine labda chini ya hapo, kwa muda huu mchache uliobaki ni muda wa kurudisha fadhila kwamba nimezaliwa nchi ambayo ina vitu adimu sana vikiwemo amani na rasilimali kibao, ni vitu ambavyo tunavichukulia poa ila tembeeni muone thamani ya hivi vitu aisee, I know i can na nitaweza kufaidi keki ya rasilimali za nchi yetu nao watoto wakikua wakute mambo nishayaseti wafaidi matunda ya rasilimali ya nchi yao, I know i can and i must.
 
And the time is now.

Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira inayoenda kukulaza usingizi wa mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa mtaji wa kutosha na sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa and i will never look back, mwaka jana pekee niliingiza mara 4 ya mshahara wangu na posho za mwaka mzima net profit and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata viji exposure kwenda baadhi ya nchi za nje hii imenipa sana hasira ya kuona watz tunachezea fursa, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.
Hongera kwa maamuzi magumu ulio chukua mkuu..! Kwahiyo unamtaji kama wa shilingi ngapi bosi.
 
Ajira ni nzuri kama ukipata kazi ambayo haitegemei mshahara

Traffic anapaswa kufurahia ajira yake..

Afisa tra anapaswa kufurahia ajira yake

Na waajiriwa wengineo wenye fursa hizo

Ila wewe unaetegemea mshahara peke yake. Ajira ya serikali ya kulipwa TGS ni upuuzi mkubwa
 
pesa ambayo hujaitolea jasho ambayo ni dhuluma haiwezi kukaa na pia mtu wa hivyo hawezi simamia pesa ikazalisha
 
Ni kosa kubwa sana kuacha kazi kwenda kuanzisha biashara

Naenda kuendeleza biashara mkuu, pesa inapanua tu biashara zilizopo sio kama mtaji ule unaoanzia biashara,
Sasa kama unatengenezewa mazingira ya kutokufanya biashara yeyote nje ya kazi ulio ajiriwa ufanyaje mkuu si bora ubet litakalo kua na liwe hatakama huna uzoefu na biashara yeyote uache tu kazi..!
 
Hata ukiambulia laki mbili.. nje ya mshahara ni faida kubwa.
Hao watu mnaowaona wanakusanya pesa tunaishi nao wengine ndugu zetu, sivyo mnavyodhani

Ila pesa hizo mara nyingi huwezi fanya maendeleo na utaogopa kufanya makubwa maana utastukiwa, hapo pesa ndipo zinaishia kwenye starehe tu maana ukinunua hata gari ya bei unachunguzwa
 
Sasa kama unatengenezewa mazingira ya kutokufanya biashara yeyote nje ya kazi ulio ajiriwa ufanyaje mkuu si bora ubet litakalo kua na liwe hatakama huna uzoefu na biashara yeyote uache tu kazi..!
Kazi naacha ili niweke tu umakini wa ziada na mambo ya biashara sio kwamba nimebanwa sana na mambo ya kazini kiasi cha kushindwa kabisa kufanya biashara, kumbuka kwa nafanya hybrid (Kazi + Biashara) nimepata faida mara 4 ya mshahara wa mwaka, Naamini nikiwa focussed na biashara itakuwa hata 10x na kukuwa muda unavyoenda.

Kutoboa kwa kubeti ni zali sawa na miujiza, ni kama zile stori za "ukipewa milioni 100 utafanya nini?", ni kweli watu wanaopewa wapo ila nadra sana.
 
Kusoma tusome sana tu ili tuwe na maarifa mengi ila tusitegemee kuajiriwa. Tusome tendence iwe ni kujiajiri tu, ikitokea opportunity ya kuajiriwa huko ujuzi wetu unakohitajika basi tukasaidie huko. Kama tunasoma ili tuajiriwe tu tutajikuta tumepoteza muda mwingi kusaka ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa nyingi na hakuna wa kuziona
 
And the time is now.

Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira, kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu + posho za mwaka mzima net profit faida baada ya kuondoa gharama zote and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.

MUHIMU: Kazi naacha kwenda kuendeleza na kuzipa muda na umakini biashara ambazo tayari nina uzoefu nazo, siachi kazi kwenda kuanza biashara from scratch.
Hongera sana kwa kujitambua na kuchukua maamuzi sahihi ya kuweka dhamana ya maisha yako mikononi mwako. Siri uliyoigundua kamwe haishirikishwi kirahisi.....Karibu sana kwenye game isiyotaka hasira. 🤓
 
Enzi za ukoloni wakoloni walisomesha watu wachache wapate ujuzi wa kufanya kazi za serikali yao. Huo mtindo uliendelea hata baada ya wakoloni kuondoka serikali iliendelea kusomesha raia wake kupata elimu kwa ajili kufanya kazi za serikali.

Sera zilibadilika na kuja zama za uchumi huria yaani soko huru. Kwenye free market raia wanaruhusiwa kuanzisha shughuli zao za kiuchumi, miradi kama ya elimu, afya na mingine ili kujiletea maendeleo, huko serikali haiajiri, inaitwa sekta binafsi.

Kwa hiyo ukisoma na kupata elimu, hiyo elimu inatosha kujiajiri bila kutegemea kuajiriwa na serikali. Serikali itaendelea kutafuta watu wa kufanya kazi zake na itawapata na kuwaajiri.

Ishu kubwa ni kila raia awe na elimu ya kuweza kujiajiri na kuweza kushindana katika soko la ajira
 
And the time is now.

Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira, kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.

Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.

Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu + posho za mwaka mzima net profit faida baada ya kuondoa gharama zote and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .

Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.

MUHIMU: Kazi naacha kwenda kuendeleza na kuzipa muda na umakini biashara ambazo tayari nina uzoefu nazo, siachi kazi kwenda kuanza biashara from scratch.
Mkuu nakupongeza kwa ujasiri huu. Naomba ufunguke zaidi ili niungane nawe kuacha huu utumwa wa kutumikishwa na maCCM.
 
Kama ukishindwa kuacha kazi leo hii, never, huwezi kuacha tayari wewe ni mwoga.
 
Ushauri : Kama:

1. Umeoa.
2. Una mtoto zaidi ya mmoja.
3. Hujawahi fanya biashara.
4. Una miaka zaidi ya 35.

Usiache kazi kwa hisia za kuzarauliwa, naongea kama mfanya biashra.

Acha kazi sababu umejipanga na kwa akili, sio hisia.
 
Back
Top Bottom