Timu huwa zinafanyaje kucope na tofauti ya masaa kati ya nchi na nchi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,264
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.

Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
 
Hatutaki visingizio. 5imba ni timu kubwa.
 
Wanapewa muda wa kupumzika kabla ya match, na ndio mana huenda kule siku 3-5 kabla, mfano leo wanaweza masaa 5 kabla ya match wachezaji wanaweza pewa 2 hours walale
 
Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
 
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.

Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Ni kweli wataingia na usingizi mnene wapigwe Tano.
 
Tanzania si itakuwa mbele kwa masaa kuliko Morocco? Kama mechi inachezwa saa nne usiku kwa saa za huku ina maana kule Morocco mechi inachezwa mapema zaidi pengine kwenye saa mbili hivi. Kwa wanaojua zaidi mtanirekebisha
 
Tofauti Masaa 3 au 4...wako nyuma yetu.....
 
Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
Ni mechi za mwisho pekee ndio mechi zinatakiwa zichezwe kwa muda sawa sawa ili kukwepa upangaji wa matokeo. Jana hukuona saa nne usiku kulikuwa na mechi pekee ya group C kati ya Etoil du Sahil na Al hilal huku mechi ya Petro luanda na Es Tunis ikichezwa leo?
 
Kwani ni mara ya kwanza simba kucheza saa nne usiku? Hilo sio geni kwao kikubwa ni kila mmoja awajibike kwa nafasi yake.
 
Tanzania si itakuwa mbele kwa masaa kuliko Morocco? Kama mechi inachezwa saa nne usiku kwa saa za huku ina maana kule Morocco mechi inachezwa mapema zaidi pengine kwenye saa mbili hivi. Kwa wanaojua zaidi mtanirekebisha
Mkuu jiografia ukisoma hadi darasa la Tatu au la Nne,tuanzie hapo kwanza!
 
Ni mechi za mwisho pekee ndio mechi zinatakiwa zichezwe kwa muda sawa sawa ili kukwepa upangaji wa matokeo. Jana hukuona saa nne usiku kulikuwa na mechi pekee ya group C kati ya Etoil du Sahil na Al hilal huku mechi ya Petro luanda na Es Tunis ikichezwa leo?
Ila mechi za jana za kundi d zilichezwa muda mmoja na kiuhalisia upangaji wa matokeo unaweza kuanza toka hatua hii
 
Well, hicho unachozungumza kinaitwa jet lag. Njia pekee ya kuishinda ni kufanya mazoezi na kulala. Ukishapata 8 hours sleep within 48 hours, mwili una resolve wenyewe. Uanze kutembea tembea sasa na wewe ujionee mwenyewe how it is.
 
Nafikiri muda siyo tatizo sana, tatizo ni hali ya hewa!​

Morocco Time to Tanzania Time Converter ( WEST to EAT )​

Morocco has only a1 time zone. On the other side, the Tanzania has only 1 time zone. The time difference between Morocco and Tanzania is 2 hours. What is the ...

Time Zone Converter - Global Time Converter › time-converter › mo...
 
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.

Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Mkuu, Tanzania tuko mbele kwa muda (GMT). Kama mechi inaanza saa 4 za huku ina maana Morocco itakuwa mapema.
 
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.

Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Tofauti ya saa kati ya maroc na tanganyika ni: maroc ni utc+1 wakati bongo ni utc+3; kwa hiyo utc+3 - utc+1 = 2hr.
Tunatofautiana kwa saa 2 tu na maroc na siyo saa 5
 
Back
Top Bottom