nchi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Huko Ulaya yalikoanzishwa makanisa mengi makuu, Kuna Nchi yoyote ya kikristo ?

    Kuna nchi yoyote ulaya ya kikristo ? Nimewahi kufuatilia Italia lakini nikaja kugundua wanaruhusu mahusiano yaliyokatazwa pia wanaruhusu kutengeneza filamu chafu
  2. JamiiForums Tanzania Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, mwanafunzi wa Hayati Rais Magufuli anayevutia watu kila kona ya nchi anayopita

    Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je...
  4. JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria za nchi yetu zinaruhusu kuwachapa viboko watu wazima hadharani?

    Najua kuna Jamii zenye taratibu za kuadhibiana kwa viboko kwa mujibu wa taratibu zao, pale inapotokea mwanajamii wao kakiuka taratibu walizokubalina. Vipi kwa upande wa viongozi wa Serikali, kuna kifungu cho chote cha Kisheria kinachowapa mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko kwa "wakosaji"?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka kuhusu sukari iliyoagizwa toka nje ya nchi

    Tunaishukuru Serikali kwa kusikia kilio cha Wananchi na hatimaye kuweza kuagiza sukari toka nje ya nchi kufidia upungufu uliojitokeza. Ninaishauri Serikali kuwa sukari yote iliyoagizwa kwanza ipimwe na TBS kabla haijaingia sokoni ili kuridhika na ubora wake ndipo wananchi waanze kuuziwa. Kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi mbili zikipigana vita na mmoja akashinda, aliyeshinda ana haki gani na wajibu gani? Aliyeshindwa ana haki zozote na wajibu wowote?

    Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
  9. JamiiForums Tanzania Anaye kwamisha nchi kukosa maendeleo ni ccm au mpinzani

    Tokea tupate uhuru hakuna hata chama pinzani kilicho shikilia nafasi yoyote kama raisi,waziri mkuu wala waziri yoyote mwenye dhamana. tuna fahamu kila raisi anayetoka ni wa ccm lakini kila anayekuja kubeba nafasi hiyo uonesha mwenzake aliyetoka alishindwa au kasoro fulani huku akisindikizwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
  12. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi kuwa na jeshi (millitary base) kwenye nchi nyingine?

    Hi Kings and Queens. Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine. Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:- 1. Hawa mabeberu wanaanzisha kambi zao kibabe kwa maana bila ridhaa ya wananchi au wanapewa ardhi na wenye nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Hii nchi Haitujali kwa Dhati

    Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) : 1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ nchi inajadili uhaba wa sukari?? CCM hebu kaeni pembeni

    Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari? Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60? Sukari!! Aibu naona mimi. Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
  15. JamiiForums Tanzania Tumepuuza namna ya Ki'Magufuli ya kuendesha nchi yetu matokeo yake tumeharibikiwa kila pahala!

    Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi wa hii nchi Na nataka niwaambie wote mliokuwa mkimdhihaki Magufuli, sasa mnaumbuka vibaya sana...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi au Taifa?

    Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION. TAFSIRI: COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory. NATION - a large body of people united by common descent, history, culture or language, inhabiting a particular country or territory. Kwa mujibu wa Katiba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  20. JamiiForums Tanzania Misso Misondo ni mgodi wa kuvuna hela nje ya nchi. creativity yake ikipata promoters wazuri inauzika dunia nzima

    nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni. ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani. ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…