Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad.
Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume.
Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali.
KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema;
"Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
Wadau hamjamboni nyote?
Nitoe pole kwa wote mlioathirika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini
Naomba kujua Kwa lengo la kupata Elim.u.
Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel wakitokea utumwani Misri walifanikiwa kufika nchi ya ahadi yaani Kanani?
Na kama...
Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!
Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania.
Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala!
Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya!
Matusi...
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa...
Wakuu kwema?
Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
Huku gongo la mboto siku mbili mfulilizo hakuna umeme mpaka Sasa. Halafu nchimbi anawaalika eti wapinzani waemde kuzungumza kwa hoja.
Dunia ya Leo mnakatiwa umeme siku mbili na Bado ukiwabia watu waandamane waungane na chadema wanakwambia ccm bele kwa mbele. Aise sisi waafrica tumelaaniwa na...
It is very funny!
1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa.
2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.
Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.
Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134.
Tanzania ni...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa.
Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.
Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike...
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
Nchi ya Tanzania watu wanachapa kazi sana na watu wavivu au wenyewe wanajiita wasio na kazi wako pia.
Turudi kwenye mada.
Serikali inawaza nini juu ya kazi ambazo hazina tija kwa taifa, hazichangii pato la taifa?
Kazi ambazo zinampa ugali mfanyaji na familia yake basi.
Taifa litasonga vipi...
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote.
Imeniskitisha nimekutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.