Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Uandishi sio mzuri mjitahidi
Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;-

Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua makundi makundi. Hii ilipelekea TANU kuwa na wakati mgumu sana sababu kama hamna maelewano kabla hata ya uhuru mkija kupewa nchi itakuaje

Hakuna kiongozi wa TANU aliyekua na maono mapana ya kuunganisha nchi kwani wengi wao walidhani wanadai uhuru wa Dar es Salaam, walikua na ufahamu na nchi nzima ili hawakuwapa uzito maeneo mengine ya nchi.

Changamoto lingine ni swala la udini, viongozi wa TANU walitaka nchi kuwa ya kislamu na kuongozwa kislamu kitu ambacho mkoloni alikikataa sababu walitaka mtu atakaye leta usawa kwa dini zote kumbuka kabla ya uhuru waislamu walikua asilimia 35 na wakristo 30 na ndio mara ya mwisho Tanganyika kufanya sensa kujumuisha kipengele cha dini.
Na concern kubwa sana ya mkoloni ni swala la udini sababu kuna kosa alilifanya India na Pakistani hakutaka tena lijirudie Tanzania swala la usawa kwa dini zote alilichukulia kwa uzito mkubwa sana

Mkoloni aliwapa masharti kabla hawajarudi tena ku-discuss juu ya uhuru wawe wamesha-sort out juu ya swala la uongozi kwa sharti la awe mkristo, amesoma na mwanachama hai wa TANU kwa hiyo bila kupenda ikabidi wamchague Julius Nyerere

Nyerere kuwa kiongozi wa TANU ni uamuzi wa kutokupenda kwa wapigania uhuru na ndio the only best choice ambayo ilikuwepo kunauwezekano wako ambao walikua wazuri zaidi kwa kigezo cha elimu na uongozi zaidi ya Julius Nyerere ila wengi wao walikua ni wachungaji na mapadre kwa hiyo ingewawia vigumu kuunganisha nchi

Kwa hiyo Nyerere na mapungufu yake alikua ni mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile
 
Uandishi sio mzuri mjitahidi
Kabla ya julius nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;-

Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua makundi makundi. Hii ilipelekea TANU kuwa na wakati mgumu sana sababu kama hamna maelewano kabla hata ya uhuru mkija kupewa nchi itakuaje

Hakuna kiongozi wa TANU aliyekua na maono mapana ya kuunganisha nchi kwani wengi wao walidhani wanadai uhuru wa dar es salaam, walikua aware na nchi nzima ili hawakuwapa uzito maeneo mengine ya nchi.

Changamoto lingine ni swala la udini, viongozi wa TANU walitaka nchi kuwa ya kislamu na kuongozwa kislamu kitu ambacho mkoloni alikikataa sababu walitaka mtu atakaye leta usawa kwa dini zote kumbuka kabla ya uhuru waislamu walikua asilimia 35 na wakristo 30 na ndo mara ya mwisho Tanganyika kufanya sensa kujumuisha kipengele cha dini.,
Na concern kubwa sana ya mkoloni ni swala la udini sababu kuna kosa alilifanya india na pakistani hakutaka tena lijirudie Tanzania swala la usawa kwa dini zote alilichukulia kwa uzito mkubwa sana

Mkoloni aliwapa masharti kabla hawajarudi tena ku-discuss juu ya uhuru wawe wamesha-sort out juu ya swala la uongozi kwa hiyo bila kupenda ikabidi wamchague nyerere

Nyerere kuwa kiongozi wa TANU ni uamuzi wa kutokupenda kwa wapigania uhuru na ndo the only best choice ambayo ilikuwepo kunauwezekano wako ambao walikua wazuri zaidi kwa kigezo cha elimu na uongozi zaid ya julius nyerere ila wengi wao walikua ni wachungaji na mapadre kwa hiyo ingewahia vigumu kuunganisha nchi

Kwa hiyo nyerere na mapungufu yake alikua ni mtu sahii kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile
Nyerere was a selfish man, watu wengi walio mjenga na kumthamini awe Raisi wa nchi hakuwataja katika vitabu vya history ya nchi, wengi ali watenga wengine ali wa eliminaye kisiasa............huwezi kupima uwezo wa Nyerere bila kujua walio mzunguka wslikua wakina nani, Nyerete hakutaka wasomi zaidi yake.
 
Sio kweli unataka watu wengi wasome alafu huna pa kuwapeleka si ujinga na hatari kwa nchi changa
 
Nyerere atuvurugia hi nchi watanzania tuna chekwa je ni watu wajinga wajinga tusio kua na confedance au exposure tupo tupo kama laughing stock, elimu yetu mbovu. Viongozi wa chama chake ni wa hovyo wsmetawala nchi mpaka watakapo choka, Nyerere ndo chanzo cha matatizo ya Tanzania, mwenzie Kinystta na Obote walisaidia kujenga raia wao yeye kaamua kuwakandamiza tu.
 
Uandishi sio mzuri mjitahidi
Kabla ya julius nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;-

Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua makundi makundi. Hii ilipelekea TANU kuwa na wakati mgumu sana sababu kama hamna maelewano kabla hata ya uhuru mkija kupewa nchi itakuaje

Hakuna kiongozi wa TANU aliyekua na maono mapana ya kuunganisha nchi kwani wengi wao walidhani wanadai uhuru wa dar es salaam, walikua aware na nchi nzima ili hawakuwapa uzito maeneo mengine ya nchi.

Changamoto lingine ni swala la udini, viongozi wa TANU walitaka nchi kuwa ya kislamu na kuongozwa kislamu kitu ambacho mkoloni alikikataa sababu walitaka mtu atakaye leta usawa kwa dini zote kumbuka kabla ya uhuru waislamu walikua asilimia 35 na wakristo 30 na ndo mara ya mwisho Tanganyika kufanya sensa kujumuisha kipengele cha dini.,
Na concern kubwa sana ya mkoloni ni swala la udini sababu kuna kosa alilifanya india na pakistani hakutaka tena lijirudie Tanzania swala la usawa kwa dini zote alilichukulia kwa uzito mkubwa sana

Mkoloni aliwapa masharti kabla hawajarudi tena ku-discuss juu ya uhuru wawe wamesha-sort out juu ya swala la uongozi kwa sharti la awe mkristo, amesoma na mwanachama hai wa TANU kwa hiyo bila kupenda ikabidi wamchague julius nyerere

Nyerere kuwa kiongozi wa TANU ni uamuzi wa kutokupenda kwa wapigania uhuru na ndo the only best choice ambayo ilikuwepo kunauwezekano wako ambao walikua wazuri zaidi kwa kigezo cha elimu na uongozi zaid ya julius nyerere ila wengi wao walikua ni wachungaji na mapadre kwa hiyo ingewahia vigumu kuunganisha nchi

Kwa hiyo nyerere na mapungufu yake alikua ni mtu sahii kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile
We jamaa bwana!!..sensa ya mkoloni 1958 waislam ni 66%,sensa ya pili yenye kipengele Cha dini 1968 ikatoa hayo matokeo yako,huko duniani tukaulizwa waislam wamekutwa na janga gani wameisha kiasi hiki!?..tukaduwaa,tuliporudi tukafuta kipengele Cha dini Hadi Leo, wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri 8m..nchi Ina watu 65m,hapo wengi dini gani!?
TANU/TAA ilikuwepo mpaka tabora,waikela wa tabora alimshinda Nyerere kwenye kura, TANU ilikuwepo pwani kote,KAGERA..unakuja unasema TANU haikua kitaifa!!
Nyerere aliyapenda tu Sana madaraka,alipiga marufuku vyama vingi,akafunga waliomtambulisha na kulazimisha akubalike kwenye siasa,akaitumbukiza nchi kwenye umasikini na sera ya ujamaa baada ya kuvuruga miji iliyokuwepo nk
 
Viongozi wa TANU walikua wanataka tanganyika iwe islamic republic of Tanganyika bila kujali uwepo wa wakristo mkoloni akawashtukia
 
Chief Marrealle akiomba uhuru wa Tanganyika kabla ya Nyerere Kuomba
20240202_181059.jpg
 
Back
Top Bottom