Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,827
4,076
Niaje waungwana

Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na kulihenyesha taifa lolote litakalothubutu kuvamia ardhi zao.

Hata Mmarekani anajua ndomaana akitaka ku deal nao kiaina huwa anatuma tu silaha huku yeye akiwa nje ya mapambano, au anaishia kushambulia vidagaa vilivyowekwa na hao wababe wasiopenda kuendeshwa kijinga jinga na nchi za magharibi. Kuna wazungu wa buhambwe walikuwa wanaota huku wanatembea kwamba eti Marekani itaivamia Iran kutokana na mashambulizi yaliofanywa na vijana kadhaa huko Iraq.

Wazungu hawa wa buhambwe wengi waliendeshwa na mihemko kuliko uhalisia kamili wa kile wanachokiota. Wenye akili tulipinga kwamba mbabe huyo wa mchongo hawezi kutia pua uajemi kufanya shambulizi, ila hawakutuelewa. Sasa leo wameona wenyewe jinsi mbabe wao alivyokwepa jukumu la kuthubutu kuivamia uajemi. Anachotaka kufanya ni kupambana tu na vijana waliowekwa na waajemi washughulike nae.

Nchi zenyewe ni...

1. Russia
2. Iran
3. China
4. North Korea.
 
Attachments

  • Screenshot_20240201-192224.jpg
    Screenshot_20240201-192224.jpg
    127.5 KB · Views: 4

Mwaka 2021 Israel walishambulia kituo cha nuclear cha Iran cha Karaj kwa drones.

China na Marekani sio maadui kihivyo, juzi kati tu hapo Xi Jinping alikuwa California anagonga mvinyo na Biden.
 
Unaikumbuka nshu ya Taiwan' mkuu

Mchina angejaribu kama anajikuna ndo ungejua USA ni dude kuubwa sana ambalo pia halizizuii nchi zingine kuipigia kelele na kisha walale ila si kwa kuijaribu kuishambulia!
 
Kuingia vita moja kwa moja hili bado wanalo waafrika tu
Kuna mataifa mengi wanaogopa na kuona madhara ya vita hasa ukizingatia Uchumi kuporomoka na hata soko kuwa baya kimaisha

Kuna watu wanajielewa na kauoga kamo, na kuwa muoga sio vibaya wakati mwingine kama unaangalia maslahi yako
Wanasema epuka Shari
Pakistan na India sio kama hawawezi kuzichapa ila wanajua athari za vita maana huwa haina mshindi bali hasara zinatofautiana tu

Mchina amejenga visiwa (artificial islands kibao na hakuna wa kumsemesha tena sio tu kaweka viwanda bali kapeleka na manowari za kijeshi na ndege yoyote ikipita juu inapewa warning moja tu kuwa iondoke eneo hilo au itunguliwe
Lakini hakuna taifa linathubutu kulianzisha hapo

Sisi kujenga bwawa tu mpaka vitisho halafu tunalazimisha muungano
Hebu kama ni kisiwa na sisi tutengeneze kimoja tujaze wanajeshi tu

Marekani hawezi kulianzisha na Iran wala kiduku moja kwa moja kwa sababu anajua hasara
Sio kuwa hana uwezo bali ni hasara na uchumi na watu pia kufa wengi
 
Unexpected’ – NYT Reveals Source of Hamas Weapons

January 28, 2024 Blog, News

By Palestine Chronicle Staff

A significant number of weapons used by the Palestinian Resistance movement Hamas may come from the Israeli army itself, according to a report published on Sunday by the New York Times.

According to the report, intelligence gathered by weapons experts, Israeli and Western officials has revealed that “Hamas has been able to build many of its rockets and anti-tank weaponry out of the thousands of munitions that failed to detonate when Israel lobbed them into Gaza”.

‘Unexpected’ - NYT Reveals Source of Hamas Weapons - Palestine Chronicle
 
Niaje waungwana

Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na kulihenyesha taifa lolote litakalothubutu kuvamia ardhi zao.

Hata Mmarekani anajua ndomaana akitaka ku deal nao kiaina huwa anatuma tu silaha huku yeye akiwa nje ya mapambano, au anaishia kushambulia vidagaa vilivyowekwa na hao wababe wasiopenda kuendeshwa kijinga jinga na nchi za magharibi. Kuna wazungu wa buhambwe walikuwa wanaota huku wanatembea kwamba eti Marekani itaivamia Iran kutokana na mashambulizi yaliofanywa na vijana kadhaa huko Iraq.

Wazungu hawa wa buhambwe wengi waliendeshwa na mihemko kuliko uhalisia kamili wa kile wanachokiota. Wenye akili tulipinga kwamba mbabe huyo wa mchongo hawezi kutia pua uajemi kufanya shambulizi, ila hawakutuelewa. Sasa leo wameona wenyewe jinsi mbabe wao alivyokwepa jukumu la kuthubutu kuivamia uajemi. Anachotaka kufanya ni kupambana tu na vijana waliowekwa na waajemi washughulike nae.

Nchi zenyewe ni...

1. Russia
2. Iran
3. China
4. North Korea.
Wanakimbiliaga kuishutumu Iran ktk kila jambo lakini hawawezi kuchukua hatua yoyote.
 
USA wanatumia AKILI kupigana vita mkuu

Vita huwa sio KUSHINDA tu

Sasa hivi Russia inapigana na USA indirectly
Wakati Russia anatumia resources zake zote kupigana na Ukraine, USA akitumia washirika wake wanachangia kidogo kidogo kumnyong’onyesha Russia kiuchumi na kijeshi...... Vita ni gharama kubwa mmno
 
Niaje waungwana

Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na kulihenyesha taifa lolote litakalothubutu kuvamia ardhi zao.

Hata Mmarekani anajua ndomaana akitaka ku deal nao kiaina huwa anatuma tu silaha huku yeye akiwa nje ya mapambano, au anaishia kushambulia vidagaa vilivyowekwa na hao wababe wasiopenda kuendeshwa kijinga jinga na nchi za magharibi. Kuna wazungu wa buhambwe walikuwa wanaota huku wanatembea kwamba eti Marekani itaivamia Iran kutokana na mashambulizi yaliofanywa na vijana kadhaa huko Iraq.

Wazungu hawa wa buhambwe wengi waliendeshwa na mihemko kuliko uhalisia kamili wa kile wanachokiota. Wenye akili tulipinga kwamba mbabe huyo wa mchongo hawezi kutia pua uajemi kufanya shambulizi, ila hawakutuelewa. Sasa leo wameona wenyewe jinsi mbabe wao alivyokwepa jukumu la kuthubutu kuivamia uajemi. Anachotaka kufanya ni kupambana tu na vijana waliowekwa na waajemi washughulike nae.

Nchi zenyewe ni...

1. Russia
2. Iran
3. China
4. North Korea.

USA wanatumia AKILI kupigana vita mkuu

Vita huwa sio KUSHINDA tu

Sasa hivi Russia inapigana na USA indirectly
Wakati Russia anatumia resources zake zote kupigana na Ukraine, USA akitumia washirika wake wanachangia kidogo kidogo kumnyong’onyesha Russia kiuchumi na kijeshi...... Vita ni gharama kubwa mmno
 
Mwaka 2021 Israel walishambulia kituo cha nuclear cha Iran cha Karaj kwa drones.

China na Marekani sio maadui kihivyo, juzi kati tu hapo Xi Jinping alikuwa California anagonga mvinyo na Biden.
Kushambulia ukiwa mbali hiyo hata Israel inafanyika kwa kushambuliwa na hezbullah, au Marekani kushambuliwa na vikundi vya itikadi kali.

Nazungumzia kuingia kabisa katika ardhi kijeshi kama ilivyofanyika Ukraine, Iraq, Libya nk.
 
Hapo Iran Marekani kapiga shoo sana. Soma historia ya Taifa la Iran.
Kwamba Marekani aliingia kijeshi kama ilivyofanyika Iraq na Libya, au kama Russia alivyofanya kwa Ukraine au shoo kivipi?

Cause Iran ishashambulia sana ndege zisizo na ruban za Marekani pamoja na zile meli zake zilizojaribu kukatiza katika mstari mwekundu wa taifa la Iran. Pia Iran kashambulia sana kambi za Marekani pale Iraq ila bado hakuna jeshi lolote la Marekani halijathubutu kwenda kuvamia ili lifanye kama lilivyofanya kwa nchi zingine dhaifu.
 
Unaikumbuka nshu ya Taiwan' mkuu

Mchina angejaribu kama anajikuna ndo ungejua USA ni dude kuubwa sana ambalo pia halizizuii nchi zingine kuipigia kelele na kisha walale ila si kwa kuijaribu kuishambulia!
Russia alijiapiza eti yeyote atakaye ingilia vita kati yake na Ukraine kwa kuipa chochote Ukraine atapata kichapo ambacho hatakuja kukisahau. Sasa najiuliza Je Marekani anaisaidia Ukraine silaha kwa kificho?
 
Unaikumbuka nshu ya Taiwan' mkuu

Mchina angejaribu kama anajikuna ndo ungejua USA ni dude kuubwa sana ambalo pia halizizuii nchi zingine kuipigia kelele na kisha walale ila si kwa kuijaribu kuishambulia!
Taiwan ipo katika mikono ya China, ikiamua kuangamizwa na China ni sekunde tu.

Ila inachokataa China ni kwa vile inaamini kuwa wataiwani ni ndugu zake, hivyo kuiangamiza Taiwan ni sawa na kuwangamiza raia wake wa kesho. Marekani pale ingeishia kutuma silaha tu kama inavyofanya kwa Ukraine hadi mwisho ingechoka na kuwaachia wataiwani zigo lao wanamalizane nalo wenyewe.
 
Kwamba Marekani aliingia kijeshi kama ilivyofanyika Iraq na Libya, au kama Russia alivyofanya kwa Ukraine au shoo kivipi?

Cause Iran ishashambulia sana ndege zisizo na ruban za Marekani pamoja na zile meli zake zilizojaribu kukatiza katika mstari mwekundu wa taifa la Iran. Pia Iran kashambulia sana kambi za Marekani pale Iraq ila bado hakuna jeshi lolote la Marekani halijathubutu kwenda kuvamia ili lifanye kama lilivyofanya kwa nchi zingine dhaifu.
Nitajie nchi zote duniani ambazo Marekani ana kambi za kijeshi kuanzia Ulaya mpaka Asia mpaka middle East halafu baada ya hapo ujitafakali. Hivi unazani vita ni yakuamka tu na kupeleka vikosi vitani....kwa taarifa yako katika nchi ulizozitaja hakuna hata moja inayotamani kuingia vitani na Marekani.
 
USA wanatumia AKILI kupigana vita mkuu

Vita huwa sio KUSHINDA tu

Sasa hivi Russia inapigana na USA indirectly
Wakati Russia anatumia resources zake zote kupigana na Ukraine, USA akitumia washirika wake wanachangia kidogo kidogo kumnyong’onyesha Russia kiuchumi na kijeshi...... Vita ni gharama kubwa mmno
Ila chakushangaza uchumi wa Russia umekua imara zaidi wakati huu wa vita kuliko ilivyokua kabla yaa
Hata Russia pia ana washirika nandio hao walio na wanaomsaidia kusavaiv dhidi ya vikwazo vya Western
Bila ya washirika waaminifu kwasasa dunia ingekua bila ya Russia
 
Iran hii hii ilobondwa na pakistan juzi au
Hata Israel inashambuliwa kila siku katika ardhi yake na panya road wa kiarab hizbulla ambao sio jeshi kamili na silaha zao za kuunga unga na bado umeaminishwa kuwa Israel ina jeshi bora na la kisasa.

So ndo uje ushangae Iran kushambulia na Pakistan!
 
Back
Top Bottom