Habari wana Jamii
Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana.
Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024:
Rank
Country
Unemployment rate
1
Niger
0.49%
2
Burundi
0.98%
3
Chad
1.28%
4
Benin
1.58%
5
Madagascar
2.07%
6
Côte d'Ivoire
2.61%
7
Tanzania...
Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa tamaduni na desturi zetu wenyeji huandaa maakuli na vinywaji kutukaribisha sie wageni wao.
Sasa basi...
#UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100.
Ripoti hiyo imeonesha...
Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu.
Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia;
"Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na...
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14...
Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee.
Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii.
Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu:
Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii:
Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme.
Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara.
Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali.
1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia.
Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote!
Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
Nimefatilia sana siasa yangu mpaka sasa ila kila siku kupitia ccm tokea kupata uhuru sijajua mpinzani wao ni nani kwenye madaraka yao kila raisi na chama chao wanavojaribu kujivua magamba wakati nyoka ni yule yule.
kabla ajafariki dkt john pombe magufuri, bunge lilikuwa mstari wa mbele kumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.