Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.
Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
Tumezoea kusikia mema ya Jaji Warioba kila kukicha. Amesifiwa na CcM , upinzani na wanaharakati.
Mimi nimezaliwa mwaka 1963 na kwa mantiki hiyo nimeshuhudia akiwa kiongozi na akiwa nje ya uongozi. Katika kukua kwangu sijawahi kusikia akituhumiwa may be kwa sababu wakati wa Mwalimu Nyerere Siri...
Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao.
Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua kuibana Israel kiuchumi kwa kuzuia bidhaa zake 54 zisisafirishwe kwenda nchini huko.Miongoni mwa bidhaa...
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.
Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
Maisha yangu yanaanzia mkoani Iringa katika mtaa wa Semtema A baada ya kuhitimu chuo 2019. Kodi ya geto ikawa imeisha kulingana msukumo wa mwenye nyumba nkaamua kuuza kilicho changu kama kitanda, gesi na redio.
Nikabadil mazingira na kuamua kwenda kuanza maisha mapya Mafinga huku nikiwa sina...
🔥VANGUARD MPYA VITI 7 IPO OFISINI, LIPIA IWE YAKO🔥
Km 80,000
Camera
Nyeusi
4WD
Leather
Push 2 Start
Cc 2360
Curtain Airbags
Bei 41,000,000 mpaka Usajili
Piga 0719 989 222
YETU MOTORS (Washauri& Waagizaji Magari)
Dar- Posta Mpya, Golden Jubilee Towers
Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya
Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa?
Nadhani idadi...
Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam
Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja.
NB: Azam kwa mtindo...
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.
Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
Serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 nchi hii lakini miji yote Tanzania haijapangiliwa.
Miji inajengwa hovyo hovyo, mtu anajenga popote, mipango miji hakuna, hakuna open space, hakuna play grounds, hakuna maeneo ya ujenzi wa huduma za kijamii.
Kinachosikitisha ni kwamba...
"Mwenendo wa Wanaume" hurejelea kanuni za kijamii na tabia zinazotarajiwa kutoka kwa wanaume katika hali mbalimbali. Ingawa mwenendo unaweza kutofautiana kulingana na mila na matarajio ya kijamii, hapa kuna mwongozo wa jumla mara nyingi unaoambatana na mwenendo wa wanaume:
1. Ukakamavu na...
Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima.
Kwanini hatuna ile roho ya...
Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki.
Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro.
Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria.
Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
Ndugu zangu,
Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini?
Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.
Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.
Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.