Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake.
Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.
Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?
JE...
Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia.
-
Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema.
-
Watu wa kipato cha...
Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo.
Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
Kwa hofu ya kupewa kipigo cha mbwa mwizi Marekani imejitutumua kukwepa aibu na kutuma Nyambizi Guantanamo bay
#BREAKING – 🚨🇺🇸⚡The US sends an attack submarine, USS Helena (SSN-725) to Guantanamo Bay, Cuba, while Russian Nuclear-powered submarine Kazan is in Havana.
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi.
Huko...
Binadamu hukumbana na matatizo mengi kila siku, lakini hapa kuna baadhi ya matatizo matatu ambayo mara nyingi hutokea:
1. Msongo wa mawazo (Stress): Binadamu mara nyingi hukumbana na hali ya msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile shinikizo la kazi, mahusiano, maswala ya...
Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani.
Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka kwenye electric power steering.
Engine options kuna 2.4L 2.7L 2.8L na Turbo charged, zote Petrol...
Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika mapambano mengi huwa wanakuwa na watu wengine kwenye kuelezea michezo hiyo na kuwapa radha watazamaji...
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat...
NIiwakumbushe tu kitu kimoja, ukiyabeza ya mwenzio ya kwako yatafanywa hivyo hiyo.
Nizungumzie kitu kidogo tu cha usafi wa mazingira yetu ambalo lilikuwa ni maono ya kwanza ya JPM alipoingia madarakani, na ikapitishwa siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi watu wote tufanye usafi wa maeneo yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.