nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali irekebishe kasoro zilizopo katika mkataba wa DP World au iachane nayo kabisa

    Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-...
  3. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania TCRA itoke hadharani kukiri kuwa muziki wa matapeli wa mtandaoni umewashinda

    Sasa imekuwa KERO, KERO KERO jumbe za kitapeli mtandaoni zimekuwa nyinginyingi mno! Hapa nadhani TCRA umefikia wakati watoke hadharani na kukubali kuwa muziki wa matapeli umewashinda. Kama kupata line za simu lazima uwe na namba ya NIDA, iweje tabia hii ya kitapeli izidi kushika kasi? TCRA...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ngano ndio kete aliyokua amesalia nayo Mrusi, haya Ukraine kutumia Croatia

    Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya umefunguka.................. July 31 (Reuters) - Ukraine and Croatia have agreed on the possibility of using Croatian ports...
  6. Money Penny

    JamiiForums Tanzania ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

    Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu? Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Profesa, kuna elimu yoyote ya msingi ya ziada unayokuwa nayo tofauti na elimu nyingine za chini?

    Jamani nauliza hivi kwa sababu nimeangalia kesi inayoendelea kati ya Winshear Gold Corp na Tanzania ARBN 20/25 kwa kweli inasikitisha. Profesa hana majibu yoyote yanayoweza kuishawishi Tribunal kuamua in favor of Tanzania. Kwa sababu hiyo, ninasikitika sana kuona wasomi na walimu wakongwe wa...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania. Wenu Mtiifu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hii nayo muite SCAM

    Watanzania wenzangu tuacheni kuita kila kitu scam, pesa ipo huko kwenye Forex na Igaming, sio kila pesa mpaka ukalime jamani. Bila kusahau kuna VAULT ya MIL 200 pale sokabet bandugu wewe ita kila kitu scam watu wanakula kuku kwa mrija na slots za shilingi 100.
  11. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Rais anasifiwa hadi kwa mambo ambayo hahusiki nayo kabisa

    Wakuu habari? Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea. Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

    Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili. 1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi. 2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi)...
  13. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  17. Gan star

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza , endapo Muungano ukavunjika je mikataba nayo itavunjika ??

    Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ??? Wenye uelewa naomba wanijuze
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maswali yatokanayo na katiba! Mambo yasiyo ya muungano huwa ya muungano katika kipindi gani? Au ni ubovu wa katiba?

    Wasalaam Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba, Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale ambayo yanayoingiliana Kuna yale yanakuwa ya Zanzibari pekee na yale yanakuwa ya Watanganyika pekee...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania "Kinzal" ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, hadi sasa zimepigwa chini 13

    Urusi walisifia sana kinzhal kwamba inapiga bila kuonekana, kwenye hii video Putin aliisifia kama ndio kila kitu, yaani inakwenda kwa hypersonic speed, sasa Marekani kaipa Ukraine patriot chache tu ambazo zimeiacha Urusi chali.... Supapawaaa......
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani hata na Nchi hii nayo tukafanya kama Bandari?

    Mi sioni tatizo kwa kweli kuwapa hao jamaa wa Dubai Bandari. Ni kama tumechelewa kidogo ilitakiwa kufanya hivi toka mwaka 2020. Nyie watu acheni nyie. Msidhani kuendesha nchi ni kitu rahisi... Acheni kabisa. Yaani naangalia namwona Rais anateseka kweli. Najiuliza hawezi kweli hata kuangalia...
Back
Top Bottom