Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam?
Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo.
Mimi nilikua na mawazo ma 2
La kwanza biashara ya mazao.
Na la pili biashara ya...
Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+.
Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.
Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana
yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha mbeleyangu
hatamke wangu nimempata kwastail hiohio sikumtongoza Wala nini
nakumbuka nilienda...
Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha...
Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega!
Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi.
Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa.
Unaweza kupata mgonjwa...
Habari zenu wakuu
Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.
Mwenye connection za saidi...
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.
====...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi.
HISTORIA...
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa...
Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Habari zenu.
Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa, nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani, maana huku kuna wataalam wa mambo haya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.