Naombeni ushauri kuhusu mwanamke huyu

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
415
1,032
Habari zenu.

Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa, nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani, maana huku kuna wataalam wa mambo haya na jinsi ya kukomaa na wanawake wa dizaini hii.

Wakurungwaaa nisaidieni naona naenda kufilisika kisa mbunyenye
 
Habari zenu.

Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao,yani sijui kaniona nina pesa sana,akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa,nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani,maana huku kuna wataalam wa mambo haya na jinsi ya kukomaa na wanawake wa dizaini hii.

Tatizo unachungulia pesa sana wewe alafu umeshaitafuna au bado??
Kama bado mwambie akupe budget ya makolokolo yk yote then mwambie weekend utampatia hiyo pesa jmosi iite lodge maliza nayo km unapesa mpe na ufute no. Yake.

kama huna piga sound ukiwa umemega ataumia tu hatakwambia ukitoka hapo block kabisa hiyo manzi sio..
 
Kitu kimoja unatakiwa kujua ni kuwa mwanamke akimpenda mtu kwa dhati toka moyoni kabisa huwa hamuombi hela kabisa! Amini kabisa nakwambia. Ukimsaidia sawa usipompa hakuombi!

Ukiona mwanamke anaomba sana hela jua anakuchukulia poa na hajali ukiondoka maishani mwake au ukibaki.

Nje ya mada, huyu dada umeshagonga au bado?
 
Bado
 
Ushapigaa shoo au Bado unatobolewa tu bila kula utamu.

Km bd ujapataa utamu ongeza kdg kumpa Hela then muombe gem akikupa kapigee baada ya hapo kataa mazoeaa km una moyo huo lkn .
 
Tatizo unachungulia pesa sana wewe alafu umeshaitafuna au bado??
Kama bado mwambie akupe budget ya makolokolo yk yote then mwambie weekend utampatia hiyo pesa jmosi iite lodge maliza nayo km unapesa mpe na ufute no. Yake.

kama huna piga sound ukiwa umemega ataumia tu hatakwambia ukitoka hapo block kabisa hiyo manzi sio..
Hapo apige sound ajilie asepee tu maana kashaonga Sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom