Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material,

Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari / chuoni na maisha ya ndoa rasmi.
  • Wapo Loyal kwa waume zao​
  • Kudumu kwenye ndoa​
  • wavumilivu kwenye ndoa,​
  • Akina Segito​
  • -hawana tamaa ya mali,​
  • -Kujua kulea watoto​
  • -Kuishi vizuri na ndugu wa mwanaume (labda tatizo liwe upande wa ndugu wa mwanaume)​
  • Wapo loyal ila hakuna kitu wanachukia kama kuwatenda, hakimbilii mahakamani kuomba ndoa ivunjwe bali kwa heshima ya ndoa na kuwajali watoto atakuvumilia muishi wote lakini hapo mapenzi unakuwa ushayaua.​
Hata mimi nimekutana na wanawake wengi mashuleni, mtaani, majirani, n.k. katika wale wabena na wahehe ambao nawajua wameolewa ni nadra sana kusikia ndoa zao zina drama na scandal.

Hata Rais Mwinyi wa Zanzibar nae kavuta huko Iringa japo ni mkristo, kwa wale tunaoangalia habari ni jambo la Kawaida Mwinyi kumsifia hadharani mke wake mara kwa mara katika hotuba.


JE ni utamaduni, familia, malezi au ni sababu zipi zimewafanya wapate title hii ?
 
Wanawake Wahehe ni wavumilivu kweli ninaye shemeji yangu mmoja mme wake aliyumba kiuchumi tukasema anaondoka zake lkn duuuhhh. Kuna wanawake wana akili na uvumilivu lkn yule shemeji yangu wa KIHEHE binti wa IPALAMWA Mungu akuweke sana kwa kumjali ndugu yetu. Wahehe wooote Ahsanteni kwa zawadi ile ya MAMA CONSOLATHA
 
Kuna uzi unaponda mabinti wa Kaskazini kumbe huu ni wa kusifia wife material.
Kiujumla msichana akilelewa kikoloni anakuwa wife material. Ndo maana kuna msemo maarufu kwamba mkumtesa house girl ni kumuandaa kuwa mke mwema.
Mikoa kama mtwara, Lindi, Tabora, Singida, Kigoma, n.k mabitni wanalelewa kikoloni mno
 
Wanawake Wahehe ni wavumilivu kweli ninaye shemeji yangu mmoja mme wake aliyumba kiuchumi tukasema anaondoka zake lkn duuuhhh. Kuna wanawake wana akili na uvumilivu lkn yule shemeji yangu wa KIHEHE binti wa IPALAMWA Mungu akuweke sana kwa kumjali ndugu yetu. Wahehe wooote Ahsanteni kwa zawadi ile ya MAMA CONSOLATHA
Nitaftie muhehe mmoja mkuu natafuta mtu wa kuowa sipati kabisa
 
Kikubwa ujitahidi kuwa Mkweli na Royal kwake. Atakupenda sana na atakufanyia kila jambo lkn chonde chond
Nitaftie muhehe mmoja mkuu natafuta mtu wa kuowa sipati kabisa
chondeeee
Nitaftie muhehe mmoja mkuu natafuta mtu wa kuowa sipati kabisa
Mkuu wapo wazuri tatizo wanataka all the time uwe na akili zako timamu 100% ukiwatenda tuuu Utamkuta ndani kajitundika si unajua wao na Kamba shingoni ni sawa na Mmasai na Rungu kiunoni.
Atakupenda sana, atakulelea watoto sana, mzigo atakupa wewe peke ako tuu lkn usilogwe kumtenda. Wale watu hawana kifua cha kuweka stress kabisaaaaa kabla ya kuamua kuwa nao malizana kwanza na ujinga wa kula pembeni Kimasikhara kwanza
 
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo
Huyo Mjomba wako aliishirikisha akili yake na Mungu au alijiamulia tu kuopoa jiko kimihemuko (hisia/mahaba)?

Kwanini Ke mmoja atumike kigezo kwa Ke wengine wote kuwa ni Washirikina?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom