Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

Nasibuhamisi

Member
Aug 26, 2023
12
13
Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena,

Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
 
Una umri gani, saidia fundi ili upate ujuzi kuna umri wake ukivuka hapo una familia ni changamoto sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom