naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. majid salim dossa

    JamiiForums Tanzania Simu inanisumbua Camera

    Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
  2. Farwesttz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyoyte ndani au nje ya Kahama

    Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote. Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote...
  3. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu haoneshi hisia tukifanya mapenzi

    Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa. Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi nifanye nini ili nimfanye asikie naombeni ushauri jamani🙏🙏🙏
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

    Habari wadau..! Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli? Kwa...
  5. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hili la kisheria hapa naombeni msaada wenu

    Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata. Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga nyumba na wakanunua gari. Na mwaka 2016 ndio wakafunga ndoa na wakabahatika kupata mtoto mwingine wa...
  6. mzeempili

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa pesa, naombeni ushauri

    Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT. Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...
  7. ngotho

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

    wakuu habarini za saa hizi? Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo. 1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE). 2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY. wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Vyuo vya Afya yashatangazwa?

    Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu. Naombeni msaada hapo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kisheria kuhusu bomba kubwa la maji kupita kwenye uwanja wangu!

    Mdogo wangu amejikusanya na kununua kauwanja anakotaka kujenga nyumba ya kuishi ajabu wakati mafundi wanachimba msingi wamekutana na bomba kubwa la maji hali ambayo hatukuitarajia! Wadau tunaomba ushauri wa kisheria wa nini kifanyike
  10. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Nikiona kipindi kwenye TV nazima; nasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Wakuu habari za mchana, mimi siyo mpenzi wa siasa wala mfuasi wa chama chochote, huko nyuma niliwahi kufuatilia siasa nikaanza kukipenda sera za vyama vya upinzani hasa kipindi kile cha kuibuliwa kwa ufisadi wa RICHMOND, ECROW ACCOUNT, MELEMETA, TEGETA ECROW NA NK. Baada ya aliekuwa waziri mkuu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

    Habari wakuu..! Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali. Asanteni:
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watabe wa Bios naombeni majibu

    Nini maana ya 1)Ground Substance? 2)Je Fibrous Protein na Fiber ni kitu kimoja? 3)Nini maana ya Extracellular Matrix 4)Basement Membrane 5)Inflammatory ni Nini 6)Bone marrow
  14. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  15. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

    Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua bafuni wanachelewa sana kutoka. Na wiki hii nimemuona ameanza tabia mpya ya kuwa ananiamrisha nioshe...
  16. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamishwa namna tofauti za upishi wa dagaa

    Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika. Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani. Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu. Kwa wenye ujuzi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

    Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watanzania naombeni mnisamehe kwa hii misimamo yangu ya kisiasa

    Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi...
Back
Top Bottom