Kwa Mlioangalia Movie ya "OPPENHEIMER" naombeni mniambie kuna jipya gani huko? Naona kwenye tuzo za kimataifa inajinyakulia mituzo yakutosha!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega!

Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza!

Ajabu ni kwamba, naona kama hiyo movie imepata Tags za kutosha na imeendelea kujizolea mituzo ya kufa mtu!

Je, hiyo movie inahusu nini na Je ni nzuri kwa mtu kama mimi mpenda Movie za Intelejensia, CIA & FBI?

Hebu nipeni mrejesho kwa mlioiangalia!
 
hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza!
Oya unamaanisha Cillian Murphy?

Kama unamaanisha huyo mwamba aliebreak insta kwa clips zake basi nina hofu na taste yako ya movie, na oppenheimer ni yy tu kainogesha.

Iangalie kwanza ndo urudi kwenye uzi wako
 
Mkuu umesoma uzi?,nimekwmabia ueleze hiyo muvi inahusu kitu gani au kwa kifupi uweke dondoo zake hapa!
 
Cillian Murphy Hajawahi Kukosea.

Hiyo Movie Bado Sijaitazama Ila Kwa Juu Juu Inahusu Mambo Ya Albert Einstein. (Time Travel & Modern Physics)
 
Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia
 
Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia

Mkuu dadavua kwa undani kidogo ili wa darasa la 4 kule kwetu Matuleke nao waelewe!
 
Ni documentary type movie story ya J. ROBERT OPPENHEIMER a Leading scientist on 1943 Manhattan project, in short ni story juu ya team iliyohusika na utengenezaji wa first atomic bomb during world war II,

AND NOW IM BECOME DEATH DESTROYER OF WORDS. A famous quote from this movie.
 
Muvi ya kishwaini sana, Sema imejipatia umaarufu sababu ya vita ya Israel inayoendelea Sasa Mana muvi yenyw nahusu mission za kivita za israel kwa kushirikiana na cia
Acha uongo. Oppenheimer inahusu Manhattan Project, development of atomic bomb.
 
Back
Top Bottom