naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Jinsi ya Ku-Activate Call Recorder Mode Kwenye Truecaller Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  3. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei halisi ya Vanilla kwa kilo

    Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa. Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
  4. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi kuna Internet Download Manager App Kwa ajili ya MAC Computers

    Wakuu naomba kuuliza kama kuna Internet Download Manager App Kwaajili ya MAC Computers. Kama ipo naomba link
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira huwa inarudia mara ngapi tangazo la nafasi za kazi kama wakikosa watu wenye sifa?

    Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani. Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mnaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) naomba kuwajulisha mnavyoweza kuiba au kuibiwa

    Vijana wangu najua mnakwenda vyuo lakini hamtoki na maarifa mnatoka na vyeti. Kwani nasema mnatoka na vyeti, ni kwa sababu mnashindwa kutafsiri hata mkopo mnaopewa unatolewa kwa sheria gani na una masharti gani. Leo mhitimu wa chuo kikuu unamuuliza unadaiwa kiasi gani na bodi mkopo awezi kujibu...
  7. mngony

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

    Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
  8. AMADOGO

    JamiiForums Tanzania Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Samahanini wadau naomba kujua hivi kujenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege zile. Uimara wake ukoje? Engineer anadai kwa aina ya udongo ukiwa na matofali imara yakajengwa kwa kulaza inatosha. Ni kweli inaweza kuwa imara? Eneo ni tambarare. Naombeni mawazo yenu
  9. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

    Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2. Omba ( Rhumba ) 3. Wallah Danico ( Sebene ) 4. Sans te Toucher ( Rhumba ) Kama una 'updates' zozote...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Property Manager ngazi ya Diploma

    Wakuu Habari za muda huu! Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi. Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa. Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Naomba Jina zuri la Biashara ya CHAKULA

    Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery. Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja. Kwa vile najua humu JF ni wajuvi wa mambo. Naomba mtusaidie jina la biashara.
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa EA hatutaweza kuyamudu?

    Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
  15. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Iliki ya kijan (Green cardamom) na eneo

    Habari ya asubuhi wakuu. Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake. Natanguliza shukrani.
  16. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Bei ya BEARING miguu ya mbele za Gari Toyota Wish

    Habari wakuu. Tafadhali mwenye kujua bei ya bearing za miguu ya mbele za gari aina ya Toyota wish naomba tujuzane tafadhali. Ahsanteni
  17. dump

    JamiiForums Tanzania Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho. Je, Madaktari mnasemaje kuhusu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
  19. O

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili hili kwa maana huko mbeleni litakuwa shida

    Nimeona nchi nyingi zimeanza kuwapa uraia watu tunaosema special talent wenye elimu za juu sijui ma Dr bingwa na wengine muhimu wafikie vigezo walivyojiwekea. Jambo hili nchi za Ulaya au USA ilikuwa na mpaka leo unapata uraia kwa njia nyingi na haibagui mtu. Dhumuni la kuleta hii issue hapa...
Back
Top Bottom