babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media
Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi.
Ambacho kimekuwa kinaniumiza kichwa. Maduka ya hizi bidhaa Europe na America mengi kama sio yote. Hayamilikiwi na weusi hasa maduka makubwa.
Lakini, ukiangalia bidhaa wanazopenda wahindi hayo maduka yanamilikiwa na Wahindi. Kwa Wachina, Turkish, Polish ni hivyo hivyo. Lakini kwa sisi weusi ni tofauti. Ni kwanini inakuwa hivi?
Kwenye maduka ya vyakula vya kiafrica ni hivyo hivyo:
Bling bling:
Kwenye vyakula.