Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 4,641
- 5,543
Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
Hawa wapo wengi hadi wanapoteza ladhaNaomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
View attachment 1984618
hahahahahaJPM mwingine ebu
Yule usemaye ni halisi hakuwa original, he's a fake one.Yuko so realistic na yule halisi
Huyo ndio yeye mwenyewe alikuwa huko America ya kusini mtaani, alikuwa anafanya hivi kama surprise.Nilijua ni yule -original, ila wamefanana
Huyu jamaa alikuwa noma sana anaimba huku anacheza, huyo ndiye yeye mwenyewe wala sio wa kuchonga.Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
View attachment 1984618
Kuna hadi wa bongo๐คฃ๐
Hakuna huyo ni yule original aliyekufaJackson kabisa huyo, nimemwokota mtaani kwetu huku
Huyo sio original, huyo ni mtu mwingine mkuu. Mbona wako wengi tu ila huyu kajifananisha zaidi.Hakuna huyo ni yule original aliyekufa