Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo?
Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
Vijana wangu najua mnakwenda vyuo lakini hamtoki na maarifa mnatoka na vyeti. Kwani nasema mnatoka na vyeti, ni kwa sababu mnashindwa kutafsiri hata mkopo mnaopewa unatolewa kwa sheria gani na una masharti gani. Leo mhitimu wa chuo kikuu unamuuliza unadaiwa kiasi gani na bodi mkopo awezi kujibu...
Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo.
Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
Samahanini wadau naomba kujua hivi kujenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege zile. Uimara wake ukoje?
Engineer anadai kwa aina ya udongo ukiwa na matofali imara yakajengwa kwa kulaza inatosha.
Ni kweli inaweza kuwa imara? Eneo ni tambarare.
Naombeni mawazo yenu
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru.
Asante kwa msaada wako
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi?
1. Champion Kapangala ( Sebene )
2. Omba ( Rhumba )
3. Wallah Danico ( Sebene )
4. Sans te Toucher ( Rhumba )
Kama una 'updates' zozote...
Wakuu Habari za muda huu!
Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi.
Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa.
Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery.
Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja.
Kwa vile najua humu JF ni wajuvi wa mambo. Naomba mtusaidie jina la biashara.
Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
Habari ya asubuhi wakuu.
Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.