naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dump

    JamiiForums Tanzania Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho. Je, Madaktari mnasemaje kuhusu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili hili kwa maana huko mbeleni litakuwa shida

    Nimeona nchi nyingi zimeanza kuwapa uraia watu tunaosema special talent wenye elimu za juu sijui ma Dr bingwa na wengine muhimu wafikie vigezo walivyojiwekea. Jambo hili nchi za Ulaya au USA ilikuwa na mpaka leo unapata uraia kwa njia nyingi na haibagui mtu. Dhumuni la kuleta hii issue hapa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  6. Mngurimi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

    Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua. Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Umuhimu na Mantiki ya Rais kusindikizwa na kupokelewa na lundo la Waandamizi akisafiri na akirejea kutoka nje ya nchi

    Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa? KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
  8. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  9. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Wakuu habari, Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke. Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu. Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...? NAWASILISHA.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, neno 'Mashiko' ni neno sahihi na iko kwenye kamusi?

    Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO. Sasa nauliza je neno hili ni neno sahihi kwa matumizi yetu ya kila siku na ipo kwenye kamusi ya kiswahili...
  13. aleesha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar naomba mulione hilo

    Nikiwa Mtanzania mwenye mwingiliano mkubwa na watu wa visiwa vya Zanzibar, sina budi kusimama kidete kwa masilahi mapana ya Nchi hii bila kupepesa Macho. Nitazungumza kuhusu suala la umiliki wa ardhi kwa wageni. Kwa mujibu wa sheria, ardhi ni ya serikali lakini pia serikali ikaweka utararibu...
  14. Tunguli ya Rais

    JamiiForums Tanzania Naomba kulekezwa kwa mtaalamu wa kienyeji

    Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba zote nafanyiwa adi kupandisha na nyota, kuaguliwa na kusunzwa kwa dawa, nikitoka hapo niko fresh...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla

    Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

    FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9. Meddie Kagere Mkombozi 10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira 11. Kibu Denis Mpambanaji SUBSTITUTES WA USHINDI...
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Simba kesho naomba mtoe draw tu

    Jamani kwa kikosi hiki kibovu walichonacho Makolos SC leo SAA 1 usiku naiomba draw tu match dhidi ya Namungo. Namungo nipeni raha jamani, kama hotel nzuri tumeshawalipia tayari tena ni Serena Hotel ili yule mjinga wao Mwijaku azidi kusema kuwa tunawahujumu kumbe sasa hawana ngoma kwenye game...
  18. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga wa wiki mbili anapata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na rangi ya uwekundu. Naomba mwenye experience na hili suala anisaidie.
  19. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

    Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao. Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
  20. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Hivi kwanini Walimu hupanda Madaraja bila kusoma ilhali Watumishi wengine wa Umma hawapandishwi?

    Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara. Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
Back
Top Bottom