Naomba kujua bei za pikipiki TVS na Boxer

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,313
10,017
Wakuu kwema?

Naomba mwenye kujua anijuze bei za pikipiki aina tofaut tofaut za brand ya TVS na za Brand ya Boxer Kwa DSM au Mwanza.

Natanguliza shukrani.
 
Kama una nia ya kununua, chukua tvs chini ya cc 150. Uhuni kwenye boxer na spea umekuwa mwingi.

NB: bei ya spea kote ni kuzito.

Utafurahia sana ride ya timing chain (no vibration) nguvu kubwa, inanyuka popote hata juu ya kilima)kigongo hata ukiwa na mzigo. Kikubwa timing zako na na utundu wa kubalansi accelerator, clutch na front brake.

Kazi iendelee.

Note: petrol imepanda. Ride reasonablly
 
Back
Top Bottom