naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mchango wako, unaonaje mawazo haya 🙏

    .
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

    Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? To...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ABC za hii gari aina ya Tata

    Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari. Mahitaji yangu ni Gari yenye kubeba Tani 15 Gari inayo himili njia ngumu rough road Gari inayo himili milima mikali Ipaende na mzigo tani15
  4. JamiiForums Tanzania Nimepiga sana simu Ofisi ya Rais - UTUMISHI, haipokelewi!

    Hello JF, Samahani hivi hii namba ya ofisi ya Rais utumishi, unaweza piga muda wowote au ni muda wa kazi tu? Nimepiga sana haipokelewi.
  5. JamiiForums Tanzania Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

    Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika. Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Rais Samia anasifiwa kwa ukimya upi?

    Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu. Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia. Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba wajuvi mnijibu

    Kama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili. Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala) halafu ukimpiga chini (ukimtema) kabla hata mwezi haujaisha anaanza kukusumbua hata kwa kukununulia...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi naomba kuuliza hivi kuwa kiongozi wa dini kunaondoa sifa ya kuwa raia na kukosoa serikali?

    Habari wanajf, naomba kuuliza watu hasa Watanzania wanalalamika kwamba kwa nn TEC wanakosoa kuhusu bandari kuwekezwa na DP word. Sasa maana ya kuwa kuwa kiongozi wa dini maana yake Ni kukubali kila kitu hata Kama Ni kibaya unapaswa kufunga akili????????? Lakini je kuwa kiongozi wa dini...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama TSh milioni 10 inatosha kwenda kutembea Dubai

    Habari ya usiku wakuu, Natamani kupata ka vaccation kidogo nipunguze machungu ya hii dunia. Nimekua nikitamani kwenda Dubai na kwa mambo ninayopitia naona kama huu ndio wakati muafaka wa kwenda huko nikiamini nitafurahi kidogo na kusahau kidogo mateso ya dunia hii. So wakuu hiyo pesa itatosha...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Kimantiki kwanini anayejitambulisha hivi anaonekana Kakosea na wa hivi Kapatia?

    Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia. Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha. Haya Mangwena (Magwiji na...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Fatawa za Maulamaa kutoka katika kitabu na Sunnah katika hili.

    Asalaam alykum. Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia. Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi. Wabillah Taufiq
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nikisomea Laboratory Technology katika chuo cha Arusha Technical College nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

    Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
  15. JamiiForums Tanzania Naomba tufunge kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu wasikate tamaa

    Habari ndugu zanguni, Tafadhari nawaomba sana tufunge na kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu sote kwa namna yoyote ile pasipo kutaja majina yao bayana kila mmoja awaandike kwenye karatasi au hata kuwatamka Kwa kinywa tuwaombee Mungu wa kweli asimamie mioyo yao ya kweli na ya haki...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia, Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ndoa ya aina hii

    Wakuu habarini za jioni! Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua duka wanalouza mota bei nzuri kwa Dar

    Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano kumaliza chuo na kupata kazi Serikalini kwa mwaka huohuo?

    Hivi kuna uwezekano wa kumaliza chuo na mwaka huohuo au baada ya mwaka mmoja ukapata ajira tena serikalini. Hasa kwenye fani ya ualimu na uuguzi?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…