naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nukes

    JamiiForums Tanzania Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari yenye plate number ya njano kwa matumizi ya nyumbani natakiwa kulipia LATRA

    Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kimawazo

    Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo. Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu?? Halafu simu ikiita...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ushuru wa kuingiza smartphones kutoka nje

    Habari wakuu. Kuna mtu wangu yupo nje ya nchi anataka kunitumia smartphones tano (5) brand new. Utaratibu wa ushuru ukoje pindi zikifika nchini? Nadhani kuna wakati serikali iliondoa import duty ila ikarudisha tena. Naomba kuwasilisha.
  8. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Asee leo nimeshangaa sana wakuu na nimeamini wanaimani ya ovyo sana Kilichonikuta dk 5 zilizopita Nimeamka nikaenda kwa jirani yangu kwa lengo ya kununua maji maana yeye anakisima kwa bahati mbaya ama nzuri sijawahi kupata shida ya maji na uhitaji wa maji ya haraka kama ilivyo leo. Yaani...
  9. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Morogoro, naomba muelekeo wa eneo linaitwa Kihonda Mkundi, Makunganya

    Habari wanajf, Kwa wale wenyeji wa Morogoro mjini tu, mwezi ujao natarajia kufiko Morogoro ila sehemu ninayoenda ni Kihonda Mkundi na Makunganya. Naomba msaada nikifika MOROGO mjini na Basi nitaenda uelekeo gani? Naomba kuwasilisha.
  10. KIMAROO

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
  11. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Wakuu salaam Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
  12. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘connection’ niwe utingo wa gari kubwa

    Wakuu habari zenu, Hongereni na majukum na poleni kwa yale magumu yanayotuandama. Nimekuja kwenu wakulungwa. Kama Kuna dereva wa hizi gari kubwa, au kwa namna yoyote unahusika na hizi gari kubwa Kama msimamizi, dalali au vinginevyo, basi naomba unisaidie connection ya utingo hata Kama kutakuwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naomba aliyewahi kulima pilipili mwendokasi za njano anipe ABC

    Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig." 1. Kitalu kama kuna dawa na mbolea 2 baada ya kuhamishia shambani toka kwenye kitalu nianze ma dawa zip kuua...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye alarm ya kipindi Cha michezo rtd aniwekee hapa

    Kama Kuna member anaweza kunisaidia aniwekee hiyo sauti hapa jukwaani nitashukuru
  15. IN JESUS WE TRUST

    JamiiForums Tanzania naomba msaada

    hivi Naweza badili coz maana nmepangiwa DIT na serkali Naweza badili kama nkifika chuo inawezekana🤔
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  19. Hold on

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Nauli kutoka iringa kwenda dodoma ni bei gani?
  20. The Eric

    JamiiForums Tanzania Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
Back
Top Bottom