Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,008
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
 
Simpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.

Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
 
Unaamini alichokisema?

Majuzi alipomwacha Balozi mmoja alisema alikuwa anakaa tu ofisini hajui hili Wala lile, uliamini?

Yaani kipilimbae anaweza akawa mtu wa kukaa asijue cha kufanya?

Uwe na HAKIKA wananchi wamerudisha kadi Kwa Sababu zingine Si kuhamisha mradi pekee,

Za kuambiwa, changamya na zako.
 
Simpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.

Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
La bandari limekwisha, wacha mbambamba. Huu ni muda wa DP WORLD kuchapa kazi. Nyie wanaufaika wa wizi bandarini tafuteni kazi nyingine. Ondoeni kelele za kipumbavu hapa
 
Samia akirudisha ardhi zetu alizowapa Waarabu, tutamsamehe mabaya yake yooootr
Onyesha ardhi iliyouzwa ili kuthibitisha kauli yako!! Mnajazwa ujinga na waanaharakati akina Mwabukusi na Lissu na nyinyi mnakubali
 
Onyesha ardhi iliyouzwa ili kuthibitisha kauli yako!! Mnajazwa ujinga na waanaharakati akina Mwabukusi na Lissu na nyinyi mnakubali
Ardhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,

Aondolewe maasai mkidai anaharibu mazingira halafu waje waarabu kufanya uwindaji wa silaha na kusafirishwa wanyama hai,

Maasai Hali nyama pori, na ni Rafiki wa mazingira, na anamiliki ardhi kisheria,

Huoni huo ni ukosefu wa HEKIMA na maadili kiuongoz?
 
Ardhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,

Aondolewe maasai mkidai anaharibu mazingira halafu waje waarabu kufanya uwindaji wa silaha na kusafirishwa wanyama hai,

Maasai Hali nyama pori, na ni Rafiki wa mazingira, na anamiliki ardhi kisheria,

Huoni huo ni ukosefu wa HEKIMA na maadili kiongoz?
Amewauzia waarabu, hanawasingizia wamasai masikini. Tuwapiganie
 
Unaamini alichokisema?

Majuzi alipomwacha Balozi mmoja alisema alikuwa anakaa tu ofisini hajui hili Wala lile, uliamini?

Yaani kipilimbae anaweza akawa mtu wa kukaa asijue Cha kufanya?

Uwe na HAKIKA wananchi wamerudisha kadi Kwa Sababu zingine Si kuhamisha mradi pekee,

Za kuambiwa, changamya na zako.
Nielimishe basi rafiki. Ndiyo maana nimesema I stand to be corrected!
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? to quote her! Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, ( mimi simpendi kwa kuuza tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema

I stand to be corrected!
Body language na hata sauti mama amejawa na hofu na hasira nyingi mpaka akashindwa kutamka majina kwa usahihi.

Suala la dc alipaswa kutoa elimu kwa kutulia na kuwaonya wengine pia wenye tabia za hizo.. Lakini kutokana na yanayoendelea nchini simlaumu sana akiwa kwenye hali ile
 
Unaamini alichokisema?

Majuzi alipomwacha Balozi mmoja alisema alikuwa anakaa tu ofisini hajui hili Wala lile, uliamini?

Yaani kipilimbae anaweza akawa mtu wa kukaa asijue Cha kufanya?

Uwe na HAKIKA wananchi wamerudisha kadi Kwa Sababu zingine Si kuhamisha mradi pekee,

Za kuambiwa, changamya na zako.
Unadhani wananchi wamerudisha kadi kwasababu ipi mkuu
 
La bandari limekwisha, wacha mbambamba. Huu ni muda wa DP WORLD kuchapa kazi. Nyie wanaufaika wa wizi bandarini tafuteni kazi nyingine. Ondoeni kelele za kipumbavu hapa
Limekwisha nyumbani kwenu, sio nje ya hapo.
 
Back
Top Bottom