Godfrey omary
New Member
- Jul 24, 2023
- 1
- 1
Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
Vifaa/ ViwandaniNaomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
Kama unatokea familia ya walala hoi, soma taaluma itakayokuwezesha ujiajiri.Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
Nakusapoti tuwakumbushe wadogo zetu wasome kozi ambazo unaweza hata kufikiri kujiajiri pindi ukipata kimtaji kuliko kusoma kozi kwa sifa ya kozi ya jina aisee utakuja kuumia mtaani na kama una roho ndogo utajiua huko mbelenKama unatokea familia ya walala hoi, soma taaluma itakayokuwezesha ujiajiri.
Ajira zipo kwa ajili ya watoto wa kishua tu na wenye connections zao hapa Tanzania.
Utanikumbuka....!!
Eti mtoto wa masikini anasomea Procurement au Accountancy.Nakusapoti tuwakumbushe wadogo zetu wasome kozi ambazo unaweza hata kufikiri kujiajiri pindi ukipata kimtaji kuliko kusoma kozi kwa sifa ya kozi ya jina aisee utakuja kuumia mtaani na kama una roho ndogo utajiua huko mbelen
Yaan kwa ss hata makozi ka ualim haswa wa arts mtt wa maskin asisome kabisa kuna watu mtaan naanza kuwaona kama wanawehuka yaan nakwambia bora wasome makozi ya kilimo mifugo uvuvi huko huwez juta sn ka utakuwa serious na maishaEti mtoto wa masikini anasomea Procurement au Accountancy.
......and bad enough, politicians don't care for so long as it doesn't negativity affect their children.Yaan kwa ss hata makozi ka ualim haswa wa arts mtt wa maskin asisome kabisa kuna watu mtaan naanza kuwaona kama wanawehuka yaan nakwambia bora wasome makozi ya kilimo mifugo uvuvi huko huwez juta sn ka utakuwa serious na maisha
Izo course ni sawa ila watu wamekariri afya na ualimuYaan kwa ss hata makozi ka ualim haswa wa arts mtt wa maskin asisome kabisa kuna watu mtaan naanza kuwaona kama wanawehuka yaan nakwambia bora wasome makozi ya kilimo mifugo uvuvi huko huwez juta sn ka utakuwa serious na maisha