naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo za Marijani Rajabu

    Wadau wa jamii forum, Heri ya sikukuu ya Simba Day. Leo nimeamka na mzuka wa kumsikiliza Jabari la muziki. Naomba kama unao wimbo wowote wa Marijani basi uniwekee hapa. Nitafurahi nilipata -Namsaka mbaya wangu -Mzee hamis -Mwana Acha kidomodomo Na nyingine nyingine nyingi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali baada ya Simba Day naomba 'Utamaduni' huu mzuri wa Marehemu Mzee Wetu 'Bamchawi' urejewe

    GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa..... 1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
  5. Nuru kids

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  6. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

    Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono. Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa. Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa. Skills zangu Project management Resource mobilization Computer...
  7. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee wadau, nimejiunga mwezi wa huu wa saba tarehe 1

    naomba mnipokee wakuu nimejinga mwezi huu wa saba tarehe 1, naombeni mnipokee wakuu 🙏
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba vitabu Kama "Rich dady poor dady " vifundishwe mashuleni ili Kupata wasomi smart .

    Ili kuiokoa Elimu yetu vitabu vinavyomjenga Mtu Kama kitabu Cha 50 cent hustler harder hustler smater vifundishwe mashuleni kwa ngazi zote Bila kusahu kitabu Cha Ricu "dady poor dady"
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

    On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi? Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
  12. opondo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

    Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)... huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya mpaka naona siku inachelewa kufika Ila siku ikifika hisia sina tena na huyo mtu zaidi naishia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kujua kuhusu hali ya ubora wa chuo cha Kampala International University kwa sasa, maana hapo miaka ya nyuma nliskia kashfa nyingi kuhusu hiki chuo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  16. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mshahara wangu uliositishwa uendelee kuingia

    Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu tofauti ya Kutajirika na Kufanikiwa

    Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

    Habari za jumapili wakuu. Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo. Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu ya kupambana na matajiri coz ya mwanamke nikaachana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe hili swali langu

    Habarini wote. Samahani mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana 2022. Nikachaguliwa chuo cha udsm lakin kutokana na matatizo ckufanikiwa kwenda kusoma. Nikaomba wanicancell ili niweze kuomba tena mwaka huu....lakin tatizo linapokuja kuna baadhi ya vyuo nikiomba kinakubali ila chuo cha muhas...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

    Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri. Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...
Back
Top Bottom