Naomba ABC za hii gari aina ya Tata

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,550
Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari.
Mahitaji yangu ni
  • Gari yenye kubeba Tani 15
  • Gari inayo himili njia ngumu rough road
  • Gari inayo himili milima mikali
Ipaende na mzigo tani15

1693077383775.jpg
1693077367563.jpg
1693077374901.jpg
 
N kwel rough road znapga lkn kwa mda tuu..... Spair n gharama....huwa baada ya miaka 3 znaaaza kuuwa vtu vngi including turbo.....inahitaj dereva makini maaana hii udereva wake sio sawa na fuso... Ndo mana bei si sawa na isuzu wala fight za ujazo huo...

Ikiwa bado mpya n gari kwel ila ikiaza kusumbua utaichukia.....
 
Spair ni nini?
 
Asante sana nimeelewa
 
Mkuu kama hela ipo nakushauri chukua fuso (tandam).Tata huwa naona zikiwa mpya ziko poa isipokuwa life span yake ni ndogo mno.
 
Kama haujaelewa pita kushoto wenye magari wameelewa ndio maana comment umeziona hapo juu wewe peke Yako ndio unajifanya kichwa ngumu.
Wenye magari wamesema hiyo maana yake nini? Ili sisi tusiyo nayo tujifunze kutoka KWENU wenye magari halafu HAMJUI VITU VYA MAGARI. 😁
 
Typing error we lofa...usi mind vitu vidogo...just take a content unaonekana ushamba haujakutoka
Huu ushamba ndo umenishangaza kuwa wewe wa mjini hueleweki unaandika nini. Hiyo content unaipata kupitia audio? Maana kama maandishi ndo umeandika spair ambayo haieleweki ni nini. Sasa content napata wapi wa Mjini?
 
Back
Top Bottom