Hivi naomba kuuliza hivi kuwa kiongozi wa dini kunaondoa sifa ya kuwa raia na kukosoa serikali?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Habari wanajf, naomba kuuliza watu hasa Watanzania wanalalamika kwamba kwa nn TEC wanakosoa kuhusu bandari kuwekezwa na DP word. Sasa maana ya kuwa kuwa kiongozi wa dini maana yake Ni kukubali kila kitu hata Kama Ni kibaya unapaswa kufunga akili????????? Lakini je kuwa kiongozi wa dini kunakuondolea Haki ya kuwa raia wa nchi na hupaswi kujua Wala kuhoji juu ya uovu unaotendeka?????? Je viongozi wa viongozi wa dini wote hawana uelewa juu ya nchi Yao na kwamba wanaelewa tu Mambo ya mbinguni ana peponi ambako hawajahi kufika??????? Maoni yangu tubadilike Watanzania tuache uzuzu na upuuuzi wa kusingizia Mambo, Kama Jambo limekosewa itafutwe njia ya kurekebisha ili nchi iende mbele. Tuache Ukasukuuuuuu.Tanzani ni yetu sote. Aidha Hata viongozi wa kisiasa huwa wanawatumia viongozi wa dini kuwaambia hubirini Amani. Sasa kama viongozi wa dini hawastali kuzungumzia nchi yao Sasa hiyo amani wanawahubiria watu gani? Na kwa maslahi ya nchi gani????
MWISHO KUWA KIONGOZI WA SIO TIKETI YA KUTOELEWA MAMBO NA KUACHA MAOVU YAENDELEE ETI TU KWA SABABU MM NI KIONGOZI WA DINI. Hivyo hata mamlaka zimewekwa na Mungu wa viongozi wa Dini.
 
Hata hivyo mkuu, sijaelewa ni watu gani hao wanaowakosoa viongozi wa dini kukosoa mikataba nyonyaji yenye vipengele vya kitumwa?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom