Je kuna uwezekano kumaliza chuo na kupata kazi Serikalini kwa mwaka huohuo?

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Hivi kuna uwezekano wa kumaliza chuo na mwaka huohuo au baada ya mwaka mmoja ukapata ajira tena serikalini.

Hasa kwenye fani ya ualimu na uuguzi?
 
Hivi kuna uwezekano wa kumaliza chuo na mwaka huohuo au baada ya mwaka mmoja ukapata ajira tena serikalini.

Hasa kwenye fani ya ualimu na uugu
Hebu faulu uwe Best student Chuoni huwa inapigwa simu moja tu toka serikalini kuwa tunamuhitaji huyo kijana Ofsi ya waziri Mkuu aje aanze kazi maalum hapa ofsini.
 
Back
Top Bottom