Mawazo yenu yanahitajika kwenye hili Wazee

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,235
4,790
Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini.
Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto.
Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi
Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
 
Mkuu toa Ushauri kupigwa na kitu kizito nishajiandaa
Kwanini utafute sababu..!!?? Kufikia hatua ya kutaka kumuacha maana yake unayo sababu tayari, hence tumia sababu hiyo hiyo kumuacha. KWA MFANO UMEMFUNGULIA BIZNENGA YAKE KWA MATEMEGEMEO KWAMBA ATAFELI NDO UTAJIPATIA SABABU, UMEJIANDAAJE AKIPIGA BAO KWENYE BIZNENGA HIYO?? Bado utampiga chini?
 
We leta Mawazo mambo ya kumpiga chini blah blah tutajua badae
 
We leta Mawazo mambo ya kumpiga chini blah blah tutajua badae
Wazo nililokupa ni kutumia hiyo sababu inakufanya ufikirie kumpiga chini kabla hata hujamfungulia hiyo biznenga yako...!! Ukiona unatafuta sababu nyingine basi hiyo ya sasa haina mashiko..!!
 
Back
Top Bottom