MWANAHARAKATI MWEMA
Senior Member
- Dec 16, 2022
- 192
- 270
Mimi ni mfanyakazi wa taasisi Fulani inayoshughulikia masuala ya Sheria, ninafamilia na ninazaidi ya miaka Zaidi ya Kumi kazini.
Kielimu Mimi ni wamadarasa 11, haina yangu Ni mpole na mwenye huruma sana na nisiyependa utani kwa kuwa huwa mwepesi kukwazika.
Katika maisha yangu ya Kazini nimekuwa Nina tabia ya kutanguliza hutu badala ya kitu na hii inapelekea kuchukiwa na kusimangwa na wafanyakazi wezangu kwamba nitaishia hivyo hivyo na nitakufa Maskini,na wengine wanasema Mimi sikustaili kufanya Kazi hii Kwa Sababu ya upole wangu.
Mara nyingi nikikaa na wafanyakazi wezangu unicheka Kwa kuniambia kuwa Mimi sijitambui Kwa Sababu vitu vyote MUHIMU vinavyofanywa na vijana Kwa maana pombe,wanawake,sigara, michezo ya Kamali na mingine mingi sifanyi sasa wanajiuliza Mimi Nina Shida gani.
Unakuta mara nyingi wanapotaka kufanya Kazi yoyote AMBAYO inaonekana Kuna na malipo uwa natengwa au kutohusishwa na Mimi kama mwanadamu naumia Kwa Sababu najiona kama labda ninapungufu Fulani.
Kwa kuwa maisha ya utu nimeyazoea nimekuwa ninajitaidi kujitenga na harakati za kufezuri na kupenda kukaa nyumbani bhasi naambiwa kwamba Mimi mjinga na inawezekana sijui umuhimu WA Kazi niliyonayo.
Sasa naomba mnipe ushauri Kwa Sababu nakuwa napitia kipindi kigumu sana, Kwa kuwa wezangu wanapata pesa Kwa Sababu wao wanapambana mtaani sana, na wakati mwingine wanakuwa na pesa mpaka naona wivu na hapo unakuta Nina Shida inanikabili lakini moyo wangu unachukia uonevu.
Sasa nimeshauliwa au wananishawishi kwamba kama naitaji kupata mafanikio lazima nibadilike, Kwa maana nianze kunywa pombe Kwa kuwa marafiki wengi wanapatikana kwenye pombe na mipango mingi ya pesa inapatikana kwenye pombe.
Pia wanasema kwamba kama naitaji mafanikio ya haraka au maisha mazuri niondoe huruma niwe na Roho mbaya, Kwa kuwa ili utajilike lazima ukandamize wengine,na pesa haitaki mtu mwenye huruma wanasema mishahara haioshi ivyo ukitaka maisha mazuri Hakuna haki.
Mimi binafsi naamini maisha yangu yanaweza kuendeshwa Kwa Fani niipendayo ya Biashara japo bado Sina Biashara, pia naamini kupata Ni mpango WA mungu,lakini nimekuwa na hofu sana ya kufukuzwa Kazi kama nitafanya Jambo Kwa kuiga wengine wanachokifanya ,nimekuwa ninahofu sana na kutokuniamini sijui Ni Kwanini.
Sasa ndugu zangu nishurini maana naukumbuka msemo wa JK kwamba "Akili za kuambiwa changanya na zako" maana Ninawafahamu watu waliofukuzwa Kazi Kwa mambo kama hayo na Leo Hakuna anayewapa msaada wanadhalilika TU mtaani.
Asanteni