Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.

Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.

I beg you by five books of Moses please don't let Musonda go.

Am saying this from a spiritual perspective.

Anga la sasa katika ulimwengu wa kiroho kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, linalazimisha Musonda lazima aendelee kuwepo ndani ya kikosi cha Yanga no matter what.

Am saying this because I know what Musonda' s aura represents in the realm of the spirit.

Ningekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Yanga ningeshauri Musonda ndio awe wa kwanza kuingia na kutoka ndani ya pitch.

Please my brother. Take this advice serious
 
Hii ni kiroho zaidi, na wakati huo huo mpira ni dhambi.
 
Unaleta ulokole kwenye soka na kujidai ni mtu wa spiritually wakati tunawaona mnaingia uwanjani kinyume nyume

Wachezaji wanaingia kwenye pitch wakiwa wamevaa powerbank kwenye mapaja halafu leo unataja vitabu vya Moses

Mose gani wa aina hiyo au Mose Iyobo?
 
Konkoni na beki la CAF Gift Fredy hawa watupishe kwanza.....

Musonda, skudu na Moloko tuwaache kwanza....wananchi hatuna neno nao.

Kinachomcost Moloko ni mfumo, Gamondi huwa anapenda kujaza viungo na kuua winga. Na huwa anapata matokeo.

Ila akifanya rotation na hakuna mchezaji wa kumweka benchi Moloko kwenye ile wing ya kulia.
 
Ungeweka logic kuliko hisia ingekuwa na maana ila hata mi bado sijaona sababu ya Musonda kuachwa angebaki aendelee kupambana

Yeah hii ndio shida. Na hii ndio shida ya wapenda dini. Wanadhan kila mtu ana understand their spiritual experience .

Guys , spiritual experience is a personal thing , very personal and can’t be shared to any one . So when you speak make sure you are data driven na sio spirutual connotation.

Musonda is good asiachwe kwa sababu he is remarkable na ana score kwenye different angles , Nadhan huyu SSC Wanamjua vema

Ndio mlango wa zile goli 5
 
Konkoni na beki la CAF Gift Fredy hawa watupishe kwanza.....

Musonda, skudu na Moloko tuwaache kwanza....wananchi hatuna neno nao.

Kinachomcost Moloko ni mfumo, Gamondi huwa anapenda kujaza viungo na kuua winga. Na huwa anapata matokeo.

Ila akifanya rotation na hakuna mchezaji wa kumweka benchi Moloko kwenye ile wing ya kulia.
100% right
 
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.

Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.

I beg you by five books of Moses please don't let Musonda go.

Am saying this from a spiritual perspective.

Anga la sasa katika ulimwengu wa kiroho kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, linalazimisha Musonda lazima aendelee kuwepo ndani ya kikosi cha Yanga no matter what.

Am saying this because I know what Musonda' s aura represents in the realm of the spirit.

Ningekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Yanga ningeshauri Musonda ndio awe wa kwanza kuingia na kutoka ndani ya pitch.

Please my brother. Take this advice serious
Magazeti kwa sasa yamekuwa Kama wale wazee wa betting, wao wapo sokoni kuuza magazeti yao na wanachezesha kete kukupata wewe mnunuaji lakini habari zao nyingi uwa ni magumashi tu, pale mchezaji anayeondoka ni moloko, konkoni na gift Fred, Kama wataongeza usajili basi atakayeondoka mwingine ni skudu na sio musonda Kama wanavyoandika hapo, Okrah anachukua nafasi ya moloko na si vinginevyo!
 
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.

Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.

I beg you by five books of Moses please don't let Musonda go.

Am saying this from a spiritual perspective.

Anga la sasa katika ulimwengu wa kiroho kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, linalazimisha Musonda lazima aendelee kuwepo ndani ya kikosi cha Yanga no matter what.

Am saying this because I know what Musonda' s aura represents in the realm of the spirit.

Ningekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Yanga ningeshauri Musonda ndio awe wa kwanza kuingia na kutoka ndani ya pitch.

Please my brother. Take this advice serious
Magazeti ya udaku bado yanakutoa roho jamaa. Hapo Yanga wageni walio mashakani ni MOLOKO, KONKONI, SKUDU. Huyu Gift ndiyo haeleweki. Unamuacha Musonda unamsajili nani?
 
Mimi nilikuwa mmoja wa ambao sikutaka kabisa Musonda aendelee kubaki, lakini mechi ya hapa nyumbani Vs Medeama ilinibadili.

Alipokosa goli la wazi aliumia sana, nilikuwa karibu nae niliyaona maumivu na mfadhaiko alioupata. Ana moyo wa upambanaji, na zaidi namkubali sana kwenye magoli ya vichwa pale kikosini hana mpinzani.
 
SANA halafu ana nidhamu sana pia ana bahati usisahau ana nyota pia. Musonda asiuzwe
 
Halafu sijui nina bahati gani nae? Ile mechi ya Mazembe robo fainali hapa nyumbani alipofunga lile goli la kwanza alikuja kushangilia nilipo...
Abaki, bado hajaimarika ila uwezo anao.

Sana halafu chunguza vizuri Kila akianzaga kufunga goli timu huwaga lazima ishinde na ipate magoli mengi
 
Back
Top Bottom