naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

    Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima. Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu. Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, hali ni ngumu

    Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi. Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kinyama kinaning'inia sehemu ya haja kubwa, naombeni msaada

    Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mimi G4N naomba kuteuliwa kuwa mwenezi. Nikiteuliwa tu, wanaccm wote wenye miaka 55+ nawafuta uanachama

    Sababu zangu ni hizi:- 1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao. 2. Wanaziba nafasi za vijana. 3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena? Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi. Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:- 1...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dar naomba anicheki

    Yeyote anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dsm; Nahitaji lift. Gari lazima liwe 2.8 GD6 Hilux 2024/Mercedes Benz 2024 yenye leather seats, AC inayofanya kazi na cooler box. Tukifika Dsm mimi ndio nitaendesha gari. Tafadhali, inbox me
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Mechi ya Yanga sc vs Mamelod iahirishwe

    Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel Gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo masandawana. Kocha anatoa sababu ambazo hazina mashiko, mara alikosa muda wa kuandaa timu, mara Aziz ki na...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa umeme wa Jua naomba tupeane ujuzi hapa

    Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..? 1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa. 2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa 3. Namba 3...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! 😄, kila la kheri!
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tafadhali

    Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume ukad!nda na hapo akanivisha k0nd0m na hapo nikamuingilia cha ajabu uume ukalegea ghafla daah yaan ukagoma...
  14. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

    Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani. Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia: Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo Phy D math D chemia C Biology C. Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
  19. JamiiForums Tanzania Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya? Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…