Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi ya MILKSHAKE

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,799
3,816
WAkuu habari za usiku huu?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa.

Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya biashara.

Ahsanteni na karibuni.
 
Ingia Facebook au Google
 
Mimi sio mjuzi sana wa milkshake labda nikusaidie hii ya banana milkshake
Maziwa fresh nusu Lita
Ice cream vikopo vidogo 2
Chocolate biscuit zile zenye rangi ya brown kabisa
Ndiz Tatu
Vanilla flavour
Weka vyote kwenye Brenda ispokuwa biscuit
Saga Kwa dakika 2 Kisha minina kwenye glass Kisha vunja vunja biscuit weka juu ya milkshake yako enjoy
 
Milkshake mkuu.
milkshakes sio juice mkuu!..
nijuavyo milkshakes ni radha za ice cream unamix na maziwa then unablend au ku shake.. let's say chocolate milkshake.
unachukua ice cream ya chocolate aidha cooper 3 na maziwa kidogo tu unawezaweka na barafu kidogo kama utahitaji then unablend.. ukushamimina kwenye glass kama una whipped cream 🍦 unamiminia kwa juu inakuwa kama hivyo hicho ki mchoro!.
ni nzuri kwa watoto hata watu wazima, pia unaweza kumix aidha chocolate na vanilla n.k

smoothie,labda hii ndio unayoizungumzia wewe hii ndo inakuwa kama juice lakini tofauti yake hii ni mixer ya maziwa na matunda mfano banana & avocado smoothie n.k
 
Mkuu,
Asante kwa elimu, vipi hii smoothie unaelewa jinsi inavyotengenezwa?
 
Mimi sio mjuzi sana wa milkshake labda nikusaidie hii ya banana milkshake
Maziwa fresh nusu Lita
Ice cream vikopo vidogo 2
Chocolate biscuit zile zenye rangi ya brown kabisa
Ndiz Tatu
Vanilla flavour
Weka vyote kwenye Brenda ispokuwa biscuit
Saga Kwa dakika 2 Kisha minina kwenye glass Kisha vunja vunja biscuit weka juu ya milkshake yako enjoy
Asante Madam.
 
Mkuu,
Asante kwa elimu, vipi hii smoothie unaelewa jinsi inavyotengenezwa?
yeah sifa ya smoothie inatakiwa iwe nzito kiasi sio sana na ndio maana mirija ya kunywea smoothie ni mikubwa kiasi..
hiyo ni rahisi sana vipimo utakadiria mwenyewe kutokana na vile unavyotaka ila ni muhimu kujua vitu unavyoviweka!, mfano hiyo avocado banana...
utablend tu kwa pamoja maziwa avocado na banana vyema unablend na barafu ili iwe ya baridi kama utahitaji kunywa kwa wakati huo,ila nashauri smoothie ukishaiblend ni vyema ukanywa hapohapo ukiiweka itakuwa nzito zaidi.. kwa hiyo ya avocado banana hakuna haja yakuweka sukari au asali maana ndizi tayari ni tamu na zinajitosheleza kabisa,so nikukadiria tu it's very easy.
 
but also you can visit YouTube to learn more,kuna smoothie nyengine ni vituko kama sio vichekesho..!
ulishaona smoothie ya mchicha wewe...?
basi kaa ukijua ipo!,haitoshi ipo nyengine mpk ya bilinganya! utakufa na roho yako binadamu si watu...🤣
 
Nipe ya tembele maana ndo ugonjwa wangu😂😂
 
Back
Top Bottom