Wataalamu wa umeme wa Jua naomba tupeane ujuzi hapa

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,403
5,527
Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..?
1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa.

2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa

3. Namba 3 kwenye picha ni nyaya za taa(zinapeleka umeme kwenye taa).

Hivyo kwa muktadha huu nataka kufahamu kutoka kwenu wataalamu,, hapo kuna msaada wowote wa "Charging controller,"..?Kama Betri ikijaa umeme, solar panel itakuwa stopped isipeleke umeme kwenye Betri..?
 
Attachments

  • IMG_20240324_161939_600.jpg
    IMG_20240324_161939_600.jpg
    1.6 MB · Views: 5
Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..?
1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa.

2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa

3. Namba 3 kwenye picha ni nyaya za taa(zinapeleka umeme kwenye taa).

Hivyo kwa muktadha huu nataka kufahamu kutoka kwenu wataalamu,, hapo kuna msaada wowote wa "Charging controller,"..?Kama Betri ikijaa umeme, solar panel itakuwa stopped isipeleke umeme kwenye Betri..?
Kwakweli umekosea , ww ndoo umefanya ivyoo?
 
Back
Top Bottom