Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,411
3,458
Asalaam,

Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.

Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.

Natanguliza shukrani.
 
Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza shukrani.
Wewe unauzaje kwa debe na upo wapi?
 
Swali ndani ya jibu inaruhusiwa kama unafanya udadisi!! usipanick
 
Pumba zipi za mahindi au mpunga.
Falme za kiarabu soko zuri sana kule,pana mtu alitoa pumba za mpunga ana export uarabuni,pia Kanda ya ziwa zinaenda sana Kenya.
Ukiziweka kwenye mfumo wa pellet utasafirisha kwa kiwango kikubwa sana kuliko zikiwa haziko kwenye mfumo wa pellet yaani tambi
 
Back
Top Bottom