Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
 
Ghafla yamekuwa mahindi tena? Siilikuwa ubwabwa au umedandia treni ya SGR kwambelee??
Kwani mtaalam gani wa vyakula kasema Mchele haufai?
Huyo bashe kasomea mambo ya kupima vyakula au akiwa waziri anajua kilakitu?
Sa utashaurije kitu hukijui wala hujaletewa wewe??
 
Kwa akili zetu na uwezo wetu mdogo katika mambo ya sayansi na teknolojia hata wangeweka virutubisho hivyo mbele ya mkemia mkuu wa serikali, ofisi yake nzima, TBS na TFDA bado wangetula vichwa tu kama nia yao ni ovu.

Tusipende vya bure na tulipende Taifa letu, haki itamalaki kwa wote.
 
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Wazo zuri !
Lakini pia tumuulize Waziri Bashe je kumbe hatuna wataalamu kabisa wa kuweza kupima hayo mahindi na kujua yana virutubisho gani vilivyowekwa humo ??!
Kama ni hivyo basi tumeshalishwa vibaya vingapi vinavyoagizwa toka nje. ??!
Siamini kama Wamarekani wanaweza kuweka virutubisho vibaya ili vije vitudhuru !
Hiyo haingii akilini na wale sio wajinga kiasi hicho, eti waweke vitu vibaya kisha watuletee sisi kwani sisi ni Russia 🇷🇺 😅😅 !
Waseme tu wanaogopa biashara za vigogo wenye hizo biashara hapa Nchini wataathirika kwa bei kushuka kwa bidhaa zao !!
That’s it ! Kufa kufaana Wanasemaga Wanyamwezi 🙏
 
Mbona Watanzania wenyewe Wana njaa?

Tembeeni mjionee ufukara wa kutisha Tanzania.
Kiongoz muwe waelewa bas na wakati mwingine mjithamin

Umeshaambiwa wameyatilia shaka sasa ww unataka ya nini?

Vimba kaka hata kama unanjaa, bule ni aghali

Tusipende sana mterezo we kula uote manyonyo bas

Maana watanzania sijui mnashida gan mkiambiwa kitu mnataka kufanya majaribio ngoja sasa watoto wenu wawe mashoga
 
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Waziri Bashe ndo kaharibu kabisaaaa

Badala ya kuseek info sahihi kutoka ubalozini, yeye kaenda kwenye media na kulalamika kana wapiga udaku wanavyolalamika
 
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Itakuwa njema sana ila hofu kama yatakuwa na madhara
 
Back
Top Bottom