Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Habari za mchana.

Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
 
Sema tu kwa sababu biashara ya kubashiri ni hatari kwa afya! Ila hiyo milioni 5 yote ungeiweka mezani tar. 25 ya mwezi huu kwa timu yenye 'odds' nyingi (sijui nimepatia 🙄)

Haki ya nani ndani ya dakika 90 tu ungeondoka na milioni 15 na ushee!!

NB: Don't try this at home!
 
Cha kujifia baada ya dakika 90 za matazamio ni nn?
 
Shinyanga Mchele unapatikana unaweza uweka store na ukauza baadae kwa bei kubwa. Pia jitahidi tafuta wateja wakenya achana na miyeyusho ya wabongo
 
Mkuu nenda ifakara kanunue mpunga na baadae uuze mchele coz mwaka huu mpunga umeanza kupanda kwa kasi sana....hivi sasa kwa mjini ifakara gunia 80000 huku bei ya shamba 60000 hivyo basi uwezekano wa kufika gunia laki moja mpk laki na ishirini upo mkubwa sana hapo bado hujakoboa kuja mchele ndio utapata faida kooooooooooh!!!mimi nipo huku
 
Wapi mzee ulipo! Viwanja 60, silent inn, Katindiuka, Lipangalala, Lumemo, Kibaoni, Kining'ina, Mahutanga, Idete, Mwembetogwa, 😁😁😁😁
 
Fanya biashara ya mchele pekee ukiweka zaidi labda maharage tu tena kwa kidogo sn. Nafaka zingine zinashikilia hela kwa muda mrefu, mchele ndo nafaka yenye mzunguko mkubwa na pesa yako muda wote utakuwa unaiona.
 
Shinyanga Mchele unapatikana unaweza uweka store na ukauza baadae kwa bei kubwa. Pia jitahidi tafuta wateja wakenya achana na miyeyusho ya wabongo
Siku hizi mambo ya kuweka mazao gharani ili kuja kuuza badaye yamepitwa na wakati sana, huu ni msimu karibu wa nne bei za mchele hazipandi, hapo ina kuwaje?na na mchele miezi sita tu unaanza kuharibika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom