naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze: Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu. Kinachonoshangaza ni Kwanini...
  4. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu course ya information system!

    wakuu samahanini nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu course ya bachelor of science in information system kweny upatikanaji wa ajira zake na hata uwezo binafsi wa kujiajiri..m ni first year mtarajiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Halmashauri inaweza kufutwa?

    Halmashauri inaweza kufutwa?Wilaya je?Mkoa?Jimbo la uchaguzi? Kwa vigezo vipi vinaweza sababisha..haya kutokea?Sheria zinasemaje??
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

    Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

    Kuna video inatrend jamaa wawili wako kwenye gari ndogo wanajirekodi video. Kufumba na kufumbua gari ya mbele yao inafunga break ghafla wanaipiga kwa nyumba hawaja kaa sawa dreva anataka kuitoa pembeni wanakutana na Basi uso kwa uso na wote wananyamaza kimya kwenye video. Je, wamekufa? Hiyo...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje na kuwe na udhibiti

    Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150. Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika. Ila...
  11. mnoel

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  12. mnoel

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Tsh. bilioni 300 zinaweza kununua matekta madogo mangapi?

    Hivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
  15. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa maswali haya kuhusu HIV

    Tangu dunia iumbwe hakuna mwanadamu aliyewahi kuona kirusi. Hata hiki kilicho maarufu sasa hakijawahi kuonwa na yeyote. Unachoona kwenye michoro hiyo ni computer generated model tu ya kutengeneza – na sio picha halisi. Tumeambiwa miaka mingi kwamba kuna kirusi cha ukimwi. Tukienda kupimwa, huwa...
  16. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya: Kwa kila shilingi...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Wanasimba naomba mpite hapa niwaambie kitu (vitu)

    Hakuna timu inayojielewa inayofurahia draw hvyo poleni sana watani.Nimefatilia mchezo wenu toka sekunde ya kwanza mpka dk ya mwisho na nmegundua yafuatato; 1. Timu haina muunganiko kama mnavyotamba mtaani 2. Kuna wachezaji wengi wana DEGREE na wengne wana MASTERS hvyo tangu ibainike KOCHA ana...
  18. jMali

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  19. SideMakini

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya Kung Fu na Karate

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu zaidi tofauti ya michezo ya ngumi hususani KUNG FU na KARATE. Leo naombeni kujua hili kwa wanao fahamu Natanguliza shukurani sana na mungu awabariki!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe gharama za kufanyiwa auditing ya TRA ktk kampun

    Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake. Nawasilisha
Back
Top Bottom