Ninaomba kujuzwa dawa kwa mtu aliyeng'atwa na ng'e

Marcy

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
1,530
3,592
Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza dozi aliyopewa lakini leo ameanza kuvimba na kukakamaa mwili mzima.

Je hii inaashiria nini?

Ni kwamba sumu haijatoka na ilisambaa kwa kiasi kikubwa mwilini?

Afanye nini ili aweze kuondokana na hiyo hali.

Ushauri wenu wapendwa
 
Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo
Alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza dozi aliyopewa
Lakini leo ameanza kuvimba na kukakamaa mwili mzima
Je hii inaashiria nin ?
Ni kwamba sumu haijatoka na ilisambaa kwa kiasi kikubwa mwilini??
Afanye nin ili aweze kuondokana na hiyo hali
Ushauri wenu wapendwa
1. Mafuta ya taa, petrol
2. Jiwe la nyoka
3. Ant venom
 
Nilishawahi kung'atwa na huyo mdudu zaidi ya mara mbili kipindi nikiwa mdogo na alichokuwa ananifanyia mama ni haya

1. Kuchanja ili kutoa ile sumu na kuna wakati alikuwa akifyonza ili kutoa damu yenye sumu vizuri.

2. Kutumia shilingi 100 ile ya kuvutia sumu.

Ila yote alikuwa anafanya mapema kabisa baada tu ya kujua.
 
Usipo muona muda huo huo unachukua wembe unachanja jeraha, unachukua shilling 100 unafunga kwenye hilo jeraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ila hofu yangu ni hali anayopitia mgonjwa kwa sasa japo alishapata matibabu jana alivimba mwili mzima leo kaamka anakizunguzungu pamoja na kichefuchefu
 
Back
Top Bottom