naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujuzwa gharama za ufundi pamoja na bei za vitu vifuatavyo

    To design and install video recording studio Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB Installation of LED lighting Installation of air-conditioning system Painting and decorations...
  2. Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  3. Naomba Kujua Service ya IST

    Salaam Wakuu! Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service. Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka...
  4. Msaada: Naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii

    Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere Video
  5. Naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya MBA in Marketing na MSc in Natural Resources Management?

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya hizo nilizozitaja? Na kama kuna chuo kizuri unakifahamu kwa masomo hayo usisite kunishauri, faida na hasara za kusoma kozi hizo pia ningependa kuzijua. Binafsi nafirikia kwenda UDOM...
  6. M

    Nina Shahada katika Uchumi na Takwimu, natafuta kazi

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya...
  7. Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  8. Naomba kupata mwenyeji wa Tunduma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata mwenyeji wa Tunduma, kuna taarifa nafuatilia ningependa kupata msaada wa majibu yake. Natanguliza shukrani.
  9. Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
  10. Naomba kutajiwa faida za dini

    Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona. Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
  11. L

    Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

    Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF...
  12. Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

    Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
  13. Naomba msaada wa kitaalam viungo vyangu vya mwili vinakosa nguvu

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi chini ya kiwango. Ni hivi nimezaliwa nikiwa mzima wa afya sina tatizo lolote, ila baada ya kufikia...
  14. Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa. Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa...
  15. U

    Naomba kufahamishwa

    Habari za weend mabibi na mabwana! Hivi kuna wanaume wanaojiuza au kutoa huduma kama wanazotoa wanawake makahaba?? Yani nao wanajipanga kama kawa kuonesha ushindani wa viungo vyao ama inakuaje?? Vipi mwanamke ukihitaji wa kukukojoza na kukutoa nyegekwa muda then kilamtu nazake wapo?? Naomba kujuzwa
  16. Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona. Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
  17. Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

    Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai hadi Leo. Tundu Lisu amepata maumivu makubwa sana ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiuchumi...
  18. R

    NAOMBA USHAURI: Hizi mbao zilizoko sokoni hapa Dar ni zipi zafaa kwa kupaulia nyumba ya kuishi? naziona kama nyepesi sana

    Habari za hapa kwa wataalam. Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa maeneo mbali mbali hapa Dar nimekutana na aina mbali mbali. 1. pine (misonobali) 2. Cyprus 3. padoo...
  19. USHAURI: TRA ianze kutoa Takwimu za Mapato kila mwezi ili kwendana na kasi ya Rais Samia

    Salaam TRA. Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi langu kwa TRA, kindly update the nation. Mmekusanya sh ngapi Mwezi Aprili?
  20. Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…