Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mshirazi, Jan 18, 2010.

 1. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

  ==============
  July 2014 UPDATE:

   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni mshahara wa Tshs 282,595.50
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hata mimi ningependa kujua hizi salary scale maani nikisoma kwenye job adverts za serikali hua siambulii kitu ktk ngazi ya mshahara hapo. Any one please atuwekee kuanzia hiyo TGS A mpaka Z .
   
 4. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,941
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana wanaficha kwa TDS Kwani ni choroko tu. unless unajiandaa kwenda KUCHENGE AU KUKAPA AMA KU BOT.
   
 5. mbuvu

  mbuvu Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni sh 322,040/=
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Nyauba nadhani yuko sahihi, hijafikia laki 3 kwa kweli!!!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,291
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
  sasa ukiwa dar utaishije?
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,698
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  yeah correct kabisa.
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ndo maana wanaiba!!! kwa taarifa yako wanaishi na viheko wadrive!!! sitingi alawansi hapa na pale na magumashi kibao (semina na wekishopi n ze like)
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,698
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  hakuna kula kokoto. na ujue ndo maana mambo ya rushwa ndogo na kubwa hayawezi kwisha
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  sasa tgs e ni ngapi b??
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,291
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mpwaaz hapo si nitakufa?
   
 13. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yaani, I kant imajin!!!!!
   
 14. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 6,350
  Likes Received: 7,575
  Trophy Points: 280
  Nadhani hii ni TGS E mkuu!

  Niliwahi kupata kazi serikalini kwa TGS E na kitu kilikuwa kinachezea hapo...ofcourse nilisepa
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  shauri yako we na goeff!!! wenzenu ndo wanaishi sasa....kwa raha zao
   
 16. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mshirazi........naomba nikupe ushauri kuhusu ajira za serikali na sitaki kuzungumzia kipato ila performance yako katika kazi.

  Nina rafiki yangu tumemaliza pamoja ADA anafanya kazi serikalini siku mmoja tulikutana na kuzungumza masuala ya kazi nilishangaa sana!

  Utaratibu mzima wa nidhamu pamoja na kazi zenyewe si sehemu ya kwenda unless ujitolee sana kufanya kazi la sivyo utakuwa hujifunzi chochote na utakuwa huna challenge mpya we ni kwenda na kurudi siku imepotea.

  Jambo zuri ambalo lipo chance ya kuendelea kusoma ni kubwa so fanya maamuzi kutokana na malengo uliyojiwekea.

  Mshahara ni mdogo ila marupurupu yakikukalia sawa utaipenda kazi.

  Kuhusu scale za mshahara sina idea wenye nazo watupe mwanga please!!
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,291
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hivi mimi sina aidia na scale za mishahara!halafu ninasali nipate kazi serikalini...lolz!
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,150
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  kwa scale hii, ufisadi hautaisha. sasa hiyo ni gross au take home?
   
 19. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,291
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nadhani kuna umuhimu wa ku-revise rates!...........
   
Tags:
Loading...