Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

Jun 7, 2020
40
10
Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.

wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE

Vipi ni vyuo vitatu bora kwa kozi ya clinical medicine interms of ada,capacity ya watu wanaohitajika,ushindani kwenye ajira baadae.kutokana na uchumi wa hapa home kwa sasa tunaweza kuafford kufanya udahili kwenye vyuo vitatu tu(30,000/=) matokeo yangu ya kidato cha nne ni;

PHY-C
CHEM-C
BIO-B
MATH-C na yaliyobaki yaani KISW,GEO,HIST,CIV,ENGLISH yote ni C
 
Dogo kajipange kwa ufaulu huo hupati hivyo vyuo vya serikali mana ndio kimbilio la wote kulingana na unafuu wa ada..competition ni kubwa sana..wenye BBB wanakosa sembuse hizo C...jaribu kuomba ili kupata ni ngumu sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE vipi ni vyuo vitatu bora kwa kozi ya clinical medicine interms of ada,capacity ya watu wanaohitajika,ushindani kwenye ajira baadae.kutokana na uchumi wa hapa home kwa sasa tunaweza kuafford kufanya udahili kwenye vyuo vitatu tu(30,000/=) matokeo yangu ya kidato cha nne ni;
PHY-C
CHEM-C
BIO-B
MATH-C na yaliyobaki yaani KISW,GEO,HIST,CIV,ENGLISH yote ni C
Ufaulu huo hpati, lazia uwe na div 1 ya chini ya 12.. or so. Highly competitive kijana wangu alipata kwa point 11 div one.... Niliomba vyuo vya Kibaha, Lugalo kama hukuchaguliwa wanakuletea sumary ya cut off point............wote walikuwa div one siyo chini ya 12.
 
oh vyuo gan naomba kujua ni vinaendana na ufaulu wangu?!
 
Apa una mti
habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE vipi ni vyuo vitatu bora kwa kozi ya clinical medicine interms of ada,capacity ya watu wanaohitajika,ushindani kwenye ajira baadae.kutokana na uchumi wa hapa home kwa sasa tunaweza kuafford kufanya udahili kwenye vyuo vitatu tu(30,000/=) matokeo yangu ya kidato cha nne ni;
PHY-C
CHEM-C
BIO-B
MATH-C na yaliyobaki yaani KISW,GEO,HIST,CIV,ENGLISH yote ni C
apa una mtihani kidogo kama private huwezi ku afford nenda advance ujitoe kafara na pcb utoboe upate kama apo juu unakuwa na one ya 8 unasoma unadaktari ila tena private but ukipata mkopo utaongezea kama lak 9 hiv kwa mwaka
 
n

tayar nimepga adavance mkuu ila matokeo hayakuwa mazuri,nina EED kwenye PCB respectively
 
Back
Top Bottom