Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,523
2,000
JPM ndani kibanda cha mabati na Nyasi kavu!
Nahisi utoto au kukosa maana ya "No research No right to Talk"

Hakuna kiongozi (late) atajengewa kama kile kinacho onekana kwenye picha, lazima tutumie akili kufikilia, hata kama tupo mbali ila inafahamika eneo lolote kukiwa na uzio wa mabati ni nini kinaendelea hapo.

Narudia...
"No research No right to speak/write"
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,214
2,000
Binafi nakutana nao wengi sana Maeneo ya Ununio na saivi hata nikienda Malls haswa Mlimani City nakutana nao wengi sana sasa sijui ni watalii au ndio wamehamia maana idadi yao kama siyo ya kawaida.
Binafi nakutana nao wengi sana Maeneo ya Ununio na saivi hata nikienda Malls haswa Mlimani City nakutana nao wengi sana sasa sijui ni watalii au ndio wamehamia maana idadi yao kama siyo ya kawaida.
Comin home journey, ya real we are backing home to our roots.,...
 

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
829
1,000
Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
Ni kweli mkuu
 

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,581
2,000
Mimi nimekutana na wanawake wawili, wote wametoka chicago, na wanaishi masaki wamekuja na familia zao (single mothers).

Niliwauliza kwanini Tanzania?jibu ni kwamba walishauriwa na wanasheria wao kwa kuangalia facts mbali mbali kuwa Africa sahemu salama zaidi kwa mtu wa hali ya kati ya kiuchumi ni Ghana na Tanzania. Hivyo walianzia kama kutalii ghana wakaja Tanzania wakapenda, wakaanza taratibu za kuhamia

Wanachokipenda
1. Amani & usalama - hawana hofu ya matukio ya kigaidi ama vita, ujambazi n.k kumbuka hawa wametokea katika state ambayo uhalifu ekithiri sana
2. Gharama za kuishi zipo - Nyumba walizopanga ni kama usd 1000 - 1500, na kwa shughuli zake anazofanya huko marekani anasema, anasevu sana na hiyo inamfanya aendelee kuwekeza huko marekani (stocks n.k) shughuli zake anafanyia online

Na mengine mengi...WANASHAURIWA na wanasheria wao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom