nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa taifa stars kachongewa CAF na nani?

    Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake. Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni nani alilalamika? Maana Kuna siku Yanga pekee TU ilipewa adhabu na CAF kwa makosa ya kumulika vItochi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nani kamfunika mwenzie kwenye hii Track?

    Hapa Bambo kule Kingwendu nani kaangusha Melodies kali zaidi?
  4. JamiiForums Tanzania Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  5. JamiiForums Tanzania TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024

    TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

    Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
  8. JamiiForums Tanzania Nchimbi anawalenga akina nani anaposema wana CCM wasio na misimamo ni ndumila kuwili na hawana sifa ya kuwa wana CCM?

    Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
  9. JamiiForums Tanzania Scofield Vs Reddington nani akili kubwa?

    Kwenye ulimwengu wa Sinema kumekuwa na ubishi kwamba Michael Scofield ni akili kubwa kuliko Raymond Reddington and Vice Versa. Naomba tuumalize ubishi hapa, je ni nani kati ya hawa wawili ni akili kubwa kumzidi mwenzake? NB: TUNASHINDANISHA CHARACTERS NA SIO MAISHA BINAFSI YA HAO WAIGIZAJI
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni nani anasimamia Uchaguzi Tanzania?

    Habari za wakati Huu; Haya ni maoni ambayo pia nimeona niyalete hapa tuyaone. Moja kati ya changamoto kubwa kuliko katika Demokrasia ya Tanzania ni swala zima la Msimamizi wa Uchaguzi. Je Jukumu la Kusimamia Uchaguzi wa Rais, Wabunge n.k. Apewe nani? Wengi wamekuwa wakifikiri kwamba Kitendo cha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

    Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi. Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja. Sasa swali langu ni nani...
  12. JamiiForums Tanzania Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

    habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja. Ila wasiwasi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Huyu Joseph Mhagama (Mwneyekiti wa Tume) ni nani?

    Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!? Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye hii kamati ya Bunge. Lakini kwa mtazamo wangu naona kama vile amewekwa pale kwa agenda maalumu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  15. JamiiForums Tanzania Nani anazipa jeuri Daladala za Moshi Mjini kutoka Kikavu Chini hadi Longoi?

    Umbali wa kutoka Moshi Mjini hadi Kikavu chini ni Kilomita 11 tu, nauli ya awali ilikuwa ni Shilingi 600 kabla ya ongezeko la hivi karibuni iliyofanya nauli ya eneo hilo kuwa ni Shilingi 700. Pamoja na mabadiliko hayo, Daladala zinazoenda njia hiyo hazijawahi kuwatoza kiasi hicho cha nauli...
  16. JamiiForums Tanzania 4R ni wazo la nani? Limetoka wapi?

    Sijafuatilia huu mjadala,nilikuwa off-line siku chache. Hili wazo la 4R sikuipata,ni nani mwanzilishi wake? Ni wazo la Ikulu? Ni wazo la Rais Samia? Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuilding. Ni falsafa imetoka wapi? Is it capitalist political theory,au socialism,au imetoka katika Sunnah...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  18. JamiiForums Tanzania Akili na Mageuzo Yenye Maendeleo Duniani

    Dunia yetu inapitia mageuzo mbalimbali yenye maendeleo. Kuanzia mifumo ya kijamii, uchumi na maendeleo mpaka teknolojia. Kwa hakika, tangu kuanza kwa dunia takribani miaka bilioni nne hivi, wanadamu wamekuwa wakishuhudia mageuzo na mabadiliko mbalimbali katika kila zama. Wote tunakubaliana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje zuia usipatikane kwenye simu lakini ujue nani kakutafuta

    Wakuu si mara kwa mara ungependa kupokea simu ya mtu lakini pia usipopokea na usipokuja kumtafuta baadaye inaweza tengeneza maswali mengi sababu anajua missed call ulipata. Lakini wakati mwingine inawezekana mazingira ya kupokea hiyo simu siyo mazuri ukaacha ukisema utakuja kumtafuta baadaye...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…