DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 474
- 999
Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka.
Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa.
Leo hii wananchi tunalalama kupanda kwa bei ya sukari na bidhaa zingine muhimu lkn inatokea tu mwananchi anatwikwa mzigo mwingine ili mradi baadhi ya wana CCM wanatunisha mifuko yao na mwananchi anabaki hana mtetezi.