Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
 
Back
Top Bottom